ELON MUSK; Binadamu 'Kutoka Mars' Mwenye akili zaidi katika Karne ya 21

Tukifika hapo kwenye free internet aluu!
Hapana sio free bali ni kwa kulipia pesa ndogo kila mwezi labda $80.

Sababu akifanya bure itakuwa hasara.
Kuendesha zile satellite ni gharama pia.
Pia anahitaji pesa nyingi zaidi ili project zingine ziendelee kukua na uchumi wake usishuke.

Anategemea kutengeneza 30 billion dollars kwa mwaka hiyo kutoka kwenye hiyo internet project yaani
Starlink.
 
Binadamu mnapenda sana story za pauka pakawa. Tena mkiwekewa na mapicha picha na mavideo basi ndiyo hamuhoji tena kisa mnapenda kuona.
 
Hapana sio free bali ni kwa kulipia pesa ndogo kila mwezi labda $80.

Sababu akifanya bure itakuwa hasara.
Kuendesha zile satellite ni gharama pia.
Pia anahitaji pesa nyingi zaidi ili project zingine ziendelee kukua na uchumi wake usishuke.

Anategemea kutengeneza 30 billion dollars kwa mwaka hiyo kutoka kwenye hiyo internet project yaani
Starlink.
Hata hivyo itakuwa vizuri pia.
 
Duniani kuna vichwa aisee, huku sisi wengine tukiwa tunaumiza kichwa kuhakikisha tunapata milo mitatu ya familia wenzetu hawa washasahau habari hizo ndio maana akili zao sasa zinawaza extra miles na kufanikiwa kupata mavumbuzi mapya yanayoitikisa dunia. Taratibu tu, tutafika na sisi hata kama ni kwa kuchelewa sana.

Waache wayafanye, ipo siku watatupokeza misaada ya hayo mavitu yakiwa mitumba....ila labda baada ya miaka kama 100, maana leo hata tukipewa ikiwa mitumba labda tufugie kuku.
 
Hapana sio free bali ni kwa kulipia pesa ndogo kila mwezi labda $80.

Sababu akifanya bure itakuwa hasara.
Kuendesha zile satellite ni gharama pia.
Pia anahitaji pesa nyingi zaidi ili project zingine ziendelee kukua na uchumi wake usishuke.

Anategemea kutengeneza 30 billion dollars kwa mwaka hiyo kutoka kwenye hiyo internet project yaani
Starlink.
Aisee balaa

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom