ELON MUSK; Binadamu 'Kutoka Mars' Mwenye akili zaidi katika Karne ya 21

Naongezea hivi; baada ya kugundua shule za kitaasisi hazimsaidii mtoto kujifunza kaanzisha shule yake kwa ajili ya watoto wake na marafiki zake.Anaamini shule zinamfumo wa kizamani hivyo zinawapotezea watu mudaThis is a philosophical perspective).Je wewe unaamini nini? umewahi kuwaza shule zinatusaidia au hazitusaidi? Je umechukua hatua gani kwa watoto wako?
 
😍
 
Ahsante mkuu kwa uchanbuzi murua... Najiukiza tu asa yy internet ya bure itamfaidia nini?

Tundu Lissu angekimbilia huko ulaya au amerika tangu akiwa mdogo mpaka angekua miongoni mwa magenius wa dunia
 
Ni mawazo mazuri....

Kwa mfano,Bill Gates aliwahi kuishauri AFRIKA kuwa inahitaji sana kuwekeza Katika VOCATIONAL TRAINING CENTRES(hizi VETA) zaidi ya kutoa ithibati nyingi kwa VYUO VIKUU vinavyomea kila UCHAO...

Na hapa TCU wafikirie kinagaubaga....kuwa nchi zetu hizi hazina DHIMA ya kufunguliwa mavyuo vikuu mpaka "vichochoroni" huku baadhi yao VIKIKOSA qualities na qualified LECTURERS wakutosha.....

Nije Katika elimu ya watoto wetu wadogo...kuna haja ya kubadilisha mentalities zetu kwa kuendelea KUREFORM mitaala yetu ya shule za msingi kwa kuweza hata kuifanya elimu ya MSINGI kuwa ni miaka 5 tu...na huko tuelekeako TUIFANYE KUWA Kama zamani kwa watoto kuanza kufundishwa ufundi,biashara kuanzia DARASA LA 3....halafu wakimaliza Hilo la 5...wajiunge SEKONDARI kwa hiyo miaka 4...iwe Kama kawaida,miaka 2 ya mwisho wawe wanachagua MASOMO YA KUSOMA MBELENI Kama ilivyo sasa......

High School tungeifuta na iwe ni DIPLOMA kwa WATAKAOFAULU ordinary level....

Wale watakaotaka kusoma SHAHADA Katika UDAKTARI ENGINEERING na SHERIA(kwa mfano)..Ni lazima wawe na hizo DIPLOMA Katika respective field zao na ndipo WAENDE vyuoni KUHENYA kwa hizo FIELD nilizozitaja hapo juu.Ikumbukwe hizo field HUENDA VIJANA WACHACHE(km vile alivyopendekeza Bill Gates kuhusu Vocational trainings zitakazobeba vijana wengi zaidi).

Kijana Muuza Al Kasus
 
Huyu jamaa anaasili ya swissGerman
Ila tu wazazi wake walihamia S..A
Kampuni yake ya zip2 waliuza kwa hp
Kampuni ya internet inaitwa starlink,
  • anao watoto mapacha wa tatu na jumla ya watoto watano
  • wake zake wote aliachana nao kutokana na kutokuwa na muda wa kukaa nao
  • mwaka 2008 alifilisika kabisa mpaka pale nasa walivyo kumbost
  • mpango wake mkubwa Sasa hivi ni kwenda kwenye mwezi na baadaye kwenye mars na kumsaidia binadamu kuishi huko endapo chochote kitatokea kuiangamiza dunia,
  • kammpuni ya starlink ni kwa itasidia kutengeneza pesa ya kwenda sayari ya marz
  • space x ni kampuni binafsi ya rocket ilyofanikiwa Sana kutokana na kutengeneza rocket ambazo ni reusable na kupunguza gharama kwa zaidi ya asilimia 50 ya gharama Ile ya mwanzo,
  • huyu jamaa ni mwanasayansi mfanya BIASHARA, anaona mbali Sana zaidi ya
Binadamu wa kawaida nadhani baada ya eisten anafata yeye
 

Attachments

hivi huwa anafanya UHANDISI/ENGINEERING mwenyewe kwa akili na mikono yake au anatoa MAWAZO/IDEAS tu kisha wengine wanafanya?
lakini pia ana skendo ya kula/kutumia ule uyoga wa kichawi yani MAGIC_MUSHROOM.
 
Duuh
 
hivi huwa anafanya UHANDISI/ENGINEERING mwenyewe kwa akili na mikono yake au anatoa MAWAZO/IDEAS tu kisha wengine wanafanya?
lakini pia ana skendo ya kula/kutumia ule uyoga wa kichawi yani MAGIC_MUSHROOM.
Both
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…