The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Bilionea namba 2 Duniani bwana Elon Musk akijibu swali ama maoni ya mtumiaji wa Twitter aliehoji ni lini watu watajua ukweli kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli, Bwana Musk amesema itajulikana hivi karibuni tu.
Kumbuka Bwana Musk alitoa taarifa kwenye mtandao wake wa twitter kwamba hivi karibuni atatoa taarifa zote kuhusiana na serikali ya Marekani kutumia nguvu nyingi kuzima maoni ama mawazo yaliyokua tofauti na msimamo wa serikali kuhusu Covid na namna ya kushughulikia Covid 19.
Bwana Musk hakuishia hapo, alitaka aliekua mkuu wa Magojwa wa Marekani Anthony Fauci afungwe kwani kwa maelekezo yake mamia ya maelfu walipoteza maisha.