Elon Musk: Hivi karibu ukweli utajulikana kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli

Elon Musk huko Marekani ni sawa na Mo hapa bongo. MO ni tajiri anayependa kucheza na mtandao na media na anatiliwa maanani na watu wa Simba, vivyo hivyo Musk anapenda kucheza na mtandao na media na anatiliwa maanani na Republicans wa mrengo mkali wa kulia( Right wing Republicans) ambao wengi wanamchukia Bill Gates, Wamarekani wengine wanamchukulia Elon Musk kama kanjanja tu.
Bilionea namba 2 Duniani bwana Elon Musk akijibu swali ama maoni ya mtumiaji wa Twitter aliehoji ni lini watu watajua ukweli kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli, Bwana Musk amesema itajulikana hivi karibuni tu.

Kumbuka Bwana Musk alitoa taarifa kwenye mtandao wake wa twitter kwamba hivi karibuni atatoa taarifa zote kuhusiana na serikali ya Marekani kutumia nguvu nyingi kuzima maoni ama mawazo yaliyokua tofauti na msimamo wa serikali kuhusu Covid na namna ya kushughulikia Covid 19.

Bwana Musk hakuishia hapo, alitaka aliekua mkuu wa Magojwa wa Marekani Anthony Fauci afungwe kwani kwa maelekezo yake mamia ya maelfu walipoteza maisha.
 
Noma sanaaaa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
JamiiForums795349132.jpg
 
Bilionea namba 2 Duniani bwana Elon Musk akijibu swali ama maoni ya mtumiaji wa Twitter aliehoji ni lini watu watajua ukweli kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli, Bwana Musk amesema itajulikana hivi karibuni tu.

Kumbuka Bwana Musk alitoa taarifa kwenye mtandao wake wa twitter kwamba hivi karibuni atatoa taarifa zote kuhusiana na serikali ya Marekani kutumia nguvu nyingi kuzima maoni ama mawazo yaliyokua tofauti na msimamo wa serikali kuhusu Covid na namna ya kushughulikia Covid 19.

Bwana Musk hakuishia hapo, alitaka aliekua mkuu wa Magojwa wa Marekani Anthony Fauci afungwe kwani kwa maelekezo yake mamia ya maelfu walipoteza maisha.
Kwa hiyo waliokuwa wanakufa wote walikuwa wanakufa kwa utapeli?

Yaani Wamarekani walienda kufanya utapeli mpaka China ambako Tatizo lilianzia?
 
Huyo Mungu wako tapeli ana maswali kibao kutueleza kwa nini alikuwa anazika watu usiku na kukataa kutangaza idadi ya vifo. Pia tueleze kinaga ubaga yale Mapapai na mafenesi yake alaiyapimaje mpka yakawa na korona.
Haters
 
Elon Musk huko Marekani ni sawa na Mo hapa bongo. MO ni tajiri anayependa kucheza na mtandao na media na anatiliwa maanani na watu wa Simba, vivyo hivyo Musk anapenda kucheza na mtandao na media na anatiliwa maanani na Republicans wa mrengo mkali wa kulia( Right wing Republicans) ambao wengi wanamchukia Bill Gates, Wamarekani wengine wanamchukulia Elon Musk kama kanjanja tu.
Vipi we mmerekani wa buza, unamuona Elon kama nani..?
 
Huyo Mungu wako tapeli ana maswali kibao kutueleza kwa nini alikuwa anazika watu usiku na kukataa kutangaza idadi ya vifo. Pia tueleze kinaga ubaga yale Mapapai na mafenesi yake alaiyapimaje mpka yakawa na korona.
Kwani binadamu alikuwa anapimwaje?? Si yalikuwa yanachukuliwa majimaji puani? Sasa Papai na mafenesi hayana maji??
 
Bilionea namba 2 Duniani bwana Elon Musk akijibu swali ama maoni ya mtumiaji wa Twitter aliehoji ni lini watu watajua ukweli kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli, Bwana Musk amesema itajulikana hivi karibuni tu.

Kumbuka Bwana Musk alitoa taarifa kwenye mtandao wake wa twitter kwamba hivi karibuni atatoa taarifa zote kuhusiana na serikali ya Marekani kutumia nguvu nyingi kuzima maoni ama mawazo yaliyokua tofauti na msimamo wa serikali kuhusu Covid na namna ya kushughulikia Covid 19.

Bwana Musk hakuishia hapo, alitaka aliekua mkuu wa Magojwa wa Marekani Anthony Fauci afungwe kwani kwa maelekezo yake mamia ya maelfu walipoteza maisha.

Kwasababu waliokufa walikuwa ni michwa sio!? Au kumbikumbi...
 
Kwa hiyo waliokuwa wanakufa wote walikuwa wanakufa kwa utapeli?

Yaani Wamarekani walienda kufanya utapeli mpaka China ambako Tatizo lilianzia?
Unaamini western propaganda kua COVID-19 ilianzia china...?
 
Bilionea namba 2 Duniani bwana Elon Musk akijibu swali ama maoni ya mtumiaji wa Twitter aliehoji ni lini watu watajua ukweli kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli, Bwana Musk amesema itajulikana hivi karibuni tu.

Kumbuka Bwana Musk alitoa taarifa kwenye mtandao wake wa twitter kwamba hivi karibuni atatoa taarifa zote kuhusiana na serikali ya Marekani kutumia nguvu nyingi kuzima maoni ama mawazo yaliyokua tofauti na msimamo wa serikali kuhusu Covid na namna ya kushughulikia Covid 19.

Bwana Musk hakuishia hapo, alitaka aliekua mkuu wa Magojwa wa Marekani Anthony Fauci afungwe kwani kwa maelekezo yake mamia ya maelfu walipoteza maisha.

Magufuli ni shahidi namba moja, wakuulize kilichomkuta kwa kudharau hatari ya vivid 19
 
Hii inaongelea pandemic response na sio whether hiyo covid 19 ni scam.

Kiingereza ni shida kwa vijana wa kayumba.
Lugha imemchanganya, na waliofatia nao hawajenda twitter kusoma au hawajaelewa
 
Back
Top Bottom