Elon Musk: Hivi karibu ukweli utajulikana kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli

Elon Musk: Hivi karibu ukweli utajulikana kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli

Naweza sema jpm alifanya usalama wa taifa uwajibike sana na akawa anapewa taarifa sahihi sana kuhusu covd kwamba huu ni mchongo kama michongo mingine

Hekk kwa idara yatu ya usalama ya enzi za jpm

Hii ya sasa Mungu ibariki tanzania
 
Hiyo hiyo Covid ikapita naye.

Huwezi kuwa na akili primitive ukatoboa.
Hakuna atakaeishi milele, at least alisema ukweli.

Ukweli siku zote sip jambo linalopendwa na watu hivyo ukweli unaweza kukugharimu.

Kusema kile unachokiamini ni ukweli toka nafsini mwako hata kama litagharimu maisha yako ni watu wachache wanaweza kusema hivyo.
 
Siyo kwamba Covid ni utapeli...

Covid ilikuwepo na ipo...

Shida ni namna ya ku combut huo ugonjwa!

Na jinsi ilivyokuwa Dhahiri kuuza Chanjo ambayo haikukamilisha taratibu za kiusalama wa dawa!

Hiyo ndiyo mess kubwa iliyofanywa na pfizer...

Huyo Fauci ni kweli ysfaa afungwe gerezani pamoja na rafiki yake Bill....!
Wewe sasa unabishana na mwanasayansi wa space x na bnaree

Wewe sasa
 
Punguza povu we mbwiga. Soma swali jamaa alilomuuliza Musk ulielewe kwa ufasaha siyo unabwabwaja tu.
Huyo shujaa wako mbona hakutoboa kwa covid-19?
Sawa mama nimekuelewa mtoto mzuri. Nitajitahidi next time kukupiga goli nyingi ufurahi mrembo wangu.
 
MUNGU huwapa maono watu
Ndivyo alivyompa uono magufuri 7bu alikuwa kiongozi
Hvyo unavyosema tumshukuru MUNGU ndivyo MAGUFURI alivyotutaka wote tumuombe MUNGU
Si kwamba MAGUFURI alikuwa na UPAKO LA HASHA
Ni yeye kupenda kumtanguliaza MUNGU kwa kila jambo
Hvyo tunamshukulu MUNGU kwa kumpa Aliyekuwa RAISI wetu maono akagundua kuwa akisema afate hila za MABEBERU wananchi wangepata tabu wangeteseka wangekufa

Hvyo tunarudi palepale MAGUFURI katika hili anastahili SIFA na atakumbukwa katika HISTORIA ya Dunia kwa msimamo wake DHIDI ya COVID 19
Mzee cjapinga kumtanguliza MUNGU kwa kila jambo, bali kutokubali tatizo lipo na ni hatarishi tuchukue hatua! NB; Mwanasiasa na viongoz wa kidunia na kumtegemea MUNGU ni vitu viwili tofaut kbs!!! Nadhan ukiwa unamtegema MUNGU na una hofu huez ruhusu uovu kwako!!
 

Attachments

  • 1620229774030.jpg
    1620229774030.jpg
    12.8 KB · Views: 4
Huyo Mungu wako tapeli ana maswali kibao kutueleza kwa nini alikuwa anazika watu usiku na kukataa kutangaza idadi ya vifo. Pia tueleze kinaga ubaga yale Mapapai na mafenesi yake alaiyapimaje mpka yakawa na korona.
Waliovurugwa kama huyu wapo bado.
 
Sacrificed himself for Tanzanians to whom?

Who needed his sacrifices anyway? For what?
U'll know for sure, verry very soon,

Ameacha hiyo spirit Kwa watu wengi sana, Uzalendo, Kufanya KAZI Kwa bidii, kusimamia SHERIA bila kumugopa yeyote, Uthubutu, kuhakikisha jambo unaloamini unalipigania Hadi mwisho nk.

Wamezaliwa akina Magufuli wengi mno na sauti zao soon hazitazuilika.

Hiyo ndo SACRIFICE niiongeleayo.

Amen
 
ukimwi ni utapeli hakunaga kitu kama hicho
Ukimwi ni scams ile watu watumie ARV
🤣🤣
 
Hii inaongelea pandemic response na sio whether hiyo covid 19 ni scam.

Kiingereza ni shida kwa vijana wa kayumba.
Pandemic response including musk wearing, Vaccination, and lockdown.
 
Huo ujinga ndio ulifanya raia wafe, ifikie mahali tuwekane waz kua hiki ni hatar tuchukue hatua!! Unamwambia raia aondoe hofu kaugonjwa kadogo? Tushukur MUNGU san kwajins alivyotuumba ngozi nyeusi inahimili maradhi type hizo!!
Hao waliokuwa wanatutisha kuwa ikifika May 2020 Africa itaanza kuokota mizoga ya watu waliokufa kwa Corona kwa kuwa kila sehemu patakuwa pamejaa hawakujua kuwa ngozi nyeusi zinahimili magonjwa?
 
Siyo kwamba Covid ni utapeli...

Covid ilikuwepo na ipo...

Shida ni namna ya ku combut huo ugonjwa!

Na jinsi ilivyokuwa Dhahiri kuuza Chanjo ambayo haikukamilisha taratibu za kiusalama wa dawa!

Hiyo ndiyo mess kubwa iliyofanywa na pfizer...

Huyo Fauci ni kweli ysfaa afungwe gerezani pamoja na rafiki yake Bill....!
Corona ilikuwa ni utapeli tena Mkubwa sana

Nchi zote zilizofuata angalizo na maelekezo ya WHO ya kukabiliana na Corona ndio zilipata madhara zaid na wale waliopuuza maelekezo ya hao ma Freemasons ndio walivuka kwa usalama zaid

hata sisi waliibuka wasamaria wema na kujifanya kumwagia Dawa ya kuondoa Corona Barabarani sambamba na kuweka kifaa cha kupulizia watu wanaoingia bungeni na Hospital ya Taifa ya Muhimbili ugonjwa ukalipuka kwa kasi na kama kawaida yake Hayati Mpendwa Magufuli hakuogopa lawama akapiga marufuku yale madude na akaamuru yatolewe mara moja na ugonjwa ukatokomea
 
Usilolijua ni sio Magufuli lakini deep state ambayo inaendesha nchi ushauri wao ulichukuliwa. Magufuli alikuwa tu mtekelezaji na kwahilo tumsifu maana hawa watu wa deep state wanashauri mengi lakini wanasiasa wengine uchwara wanaamua kuwaIgnore.
Hakuna cha deep state. Magufuli alifunuliwa na Mungu.
 
saSa watu waliokufa kwa mamia walikufa kwa ugonjwa gani?
Tuna wapuuzi humu alafu wakiletewa elimu kuhusu sayansi wanakaa kimya.ukiwauliza hivi vyote mnavotumia ni uongo wanabaki kujibalaguza.
Hii nchi ni wajinga sana alafu ndio wanakwenda hospitali wanapewa dawa, wanatibiwa ila utawasikia wakipinga taaluma.
 
Back
Top Bottom