Elon Musk: Hivi karibu ukweli utajulikana kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli

Elon Musk: Hivi karibu ukweli utajulikana kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli

Sisi watu wa rohoni tuliustukia mapema sana huo mchezo hatukushoboka na chanjo wala nn. Tulijua nini ajenda yao Magufuli was right aliusoma nao.
Key points ya kuleta corona
1.One two one two test ya 666.
2.Kumake uchumi wa wengi unaporomoka uwe under level ya control yao.
3.Ishu za spiritual
 
Tuna wapuuzi humu alafu wakiletewa elimu kuhusu sayansi wanakaa kimya.ukiwauliza hivi vyote mnavotumia ni uongo wanabaki kujibalaguza.
Hii nchi ni wajinga sana alafu ndio wanakwenda hospitali wanapewa dawa, wanatibiwa ila utawasikia wakipinga taaluma.
Ungekuwa na akili ningekushauri uzitumie,

Hivi MAFUA na CHANJO wapi na wapi?

Mafua na lockdown vinahusiana vp,

Kuku wa kisasa tunaofuga majumbani Huwa wamefungiwa, lockdown hiyo Imewahi zuia mlipuko wa UGONJWA wa mafua unakuja Kwa njia ya hewa?

Mbona kuku huugua wakiwa ndani?

Hao unaowaita WASOMI, waliwafungia watu wao ndani Ili kuepuka UGONJWA unaosambaa Kwa hewa.

Magu was an Angelou's being.

Mataifa yote wanaendelea kukiri kuwa Tanzania palikuwa na mtawala aliyeongozwa na Mungu.
 
saSa watu waliokufa kwa mamia walikufa kwa ugonjwa gani?
Kuna wengine walikufa kwa covid, wengine magonjwa mengine wengine chanio ya covid so ilikua ni multiple factors.

Hoja ya Elon ni kwamba mchakato mzima wa chanjo na tiba dhidi ya covid ilikua ni utapeli.
 
Lakini COVID ikapaita nae
Hii ni hear say tu mkuu.

Lakini pia kila mtu atakufa, kikubwa alisimamia kile anachokiamini hadi mauti.

Leo hii tunamjadili kwa sababu ya hayo maamuzi magumu aliyochukua otherwise tusingekua tunajadili hapa.

Ni watu wachache wanaweza kusimamia wanachokiamini hata kama litagharimu maisha yao.
 
Tuna wapuuzi humu alafu wakiletewa elimu kuhusu sayansi wanakaa kimya.ukiwauliza hivi vyote mnavotumia ni uongo wanabaki kujibalaguza.
Hii nchi ni wajinga sana alafu ndio wanakwenda hospitali wanapewa dawa, wanatibiwa ila utawasikia wakipinga taaluma.
Hapa tunazungumzia covid, hayo mambo ya sayansi ni mambo mengine. Jikite kwenye mada.

Wewe unaijua sayansi kuliko Elon? Sayansi gani unajua wewe umekariri mkaratasi, ungevumbua ama kugundua ama kutengeneza nini na sayansi yako unayoijua?
 
Hao waliokuwa wanatutisha kuwa ikifika May 2020 Africa itaanza kuokota mizoga ya watu waliokufa kwa Corona kwa kuwa kila sehemu patakuwa pamejaa hawakujua kuwa ngozi nyeusi zinahimili magonjwa?
Sa Mzee pohamba mpaka leo hujui juu ya propaganda za dunia kwa maslah fulani!!
 
Noma sanaaaa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2527754
FB_IMG_16764913981074711.jpg
 
Matako kama wewe ndo mnaishia kuva rainbaw outfit.😆😆😆
Huna hoja, nimesoma comments yako ya mwanzo nikagundua hilo ndo maan ckutaka kuendelea na kukupa elimu cz ungeishia kuandika kama hiki ulichoandika hapa!! Endelea kukua na kujifunza then yaezekana badae ukawa mtoa hoja mzur, but for now wee bado san.
 
Hapa tunazungumzia covid, hayo mambo ya sayansi ni mambo mengine. Jikite kwenye mada.

Wewe unaijua sayansi kuliko Elon? Sayansi gani unajua wewe umekariri mkaratasi, ungevumbua ama kugundua ama kutengeneza nini na sayansi yako unayoijua?
Kwani hizo chanjo zimetoka kanisani au mskitini ?
 
Ungekuwa na akili ningekushauri uzitumie,

Hivi MAFUA na CHANJO wapi na wapi?

Mafua na lockdown vinahusiana vp,

Kuku wa kisasa tunaofuga majumbani Huwa wamefungiwa, lockdown hiyo Imewahi zuia mlipuko wa UGONJWA wa mafua unakuja Kwa njia ya hewa?

Mbona kuku huugua wakiwa ndani?

Hao unaowaita WASOMI, waliwafungia watu wao ndani Ili kuepuka UGONJWA unaosambaa Kwa hewa.

Magu was an Angelou's being.

Mataifa yote wanaendelea kukiri kuwa Tanzania palikuwa na mtawala aliyeongozwa na Mungu.
Ukiumwa unakimbilia wapi ? Kutibiwa
 
Hapa tunazungumzia covid, hayo mambo ya sayansi ni mambo mengine. Jikite kwenye mada.

Wewe unaijua sayansi kuliko Elon? Sayansi gani unajua wewe umekariri mkaratasi, ungevumbua ama kugundua ama kutengeneza nini na sayansi yako unayoijua?
Ugonjwa unatibika wapi na unachunguzwa na nani ? Wanasiasa .
Ndo leo unakubari kuongozwa na mjinga ili mradi kukubali mawazo yake
 
Kwenye janga la chanjo ya corona waathirika:
(1)80% Wasomi na watu wenye uwezo wa kati kimaisha na matajiri
(2) 20% watu wa kawaida wenye maisha ya chini wenye elimu ya kawaida au wasio na elimu kabisa.

Kujua kwingi mbele kiza...
 
KENGE katika ubora wako.

Hoja hapa ni kwamba Covid 19 ulikuwa utapeli? Wewe KENGE mlamba mashudu umekomaa na ujinga ujinga tu.

KENGE
Nilitaka nikujibu, ila ID name yako inatosha kuonesha upeo wa ufahamu wako, huna hadhi ya kujibiwa, endelea kutukana.
 
Usilolijua ni sio Magufuli lakini deep state ambayo inaendesha nchi ushauri wao ulichukuliwa. Magufuli alikuwa tu mtekelezaji na kwahilo tumsifu maana hawa watu wa deep state wanashauri mengi lakini wanasiasa wengine uchwara wanaamua kuwaIgnore.
Kwamba ndo hao hao walishauri tuchanje watu wetu baada ya Magu kuondoka?

Au tuseme Magu aliondoka na ds yake sio!!!
 
Back
Top Bottom