Elon Musk: Hivi karibu ukweli utajulikana kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli

Elon Musk: Hivi karibu ukweli utajulikana kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli

Bilionea namba 2 Duniani bwana Elon Musk akijibu swali ama maoni ya mtumiaji wa Twitter aliehoji ni lini watu watajua ukweli kwamba Covid-19 ilikua ni utapeli, Bwana Musk amesema itajulikana hivi karibuni tu.

Kumbuka Bwana Musk alitoa taarifa kwenye mtandao wake wa twitter kwamba hivi karibuni atatoa taarifa zote kuhusiana na serikali ya Marekani kutumia nguvu nyingi kuzima maoni ama mawazo yaliyokua tofauti na msimamo wa serikali kuhusu Covid na namna ya kushughulikia Covid 19.

Bwana Musk hakuishia hapo, alitaka aliekua mkuu wa Magojwa wa Marekani Anthony Fauci afungwe kwani kwa maelekezo yake mamia ya maelfu walipoteza maisha.
Mnaposema COVID 19 ilikuwa utapeli siwaelew, Kwan hamkushuhudia watu walivyokuwa wanapukutika? Binafsi ilinipata na kunitesa sana mpaka muda huu Huwa najiuliza kwann Niko hai?
 
Mnaposema COVID 19 ilikuwa utapeli siwaelew, Kwan hamkushuhudia watu walivyokuwa wanapukutika? Binafsi ilinipata na kunitesa sana mpaka muda huu Huwa najiuliza kwann Niko hai?
Utapeli unakuja kama ifuatavyo,

Unatengezwa UGONJWA wa mafua na watu wa Giza ktk maabara zao, unaambukizwa Kwa watu makusudi,

Halafu wanatoka kuyaambia mataifa yakopeshwe CHANJO na wakae ndani bila kufanya KAZI.

Malengo ya kuwafungia watu ndani wasifanye KAZI ni kutafuta sababu ya kuutangaza kuwa Dunia Uchumi umefilisika.

Nia ilikuwa, baada ya watu kupata taabu ya CHAKULA nk,

Wangeamua kuukwamua Uchumi wa Dunia, mataifa yote yasipoteze muda, yashurutishwe kukubali,

IBADA zote zifanyike siku moja watayochagua,

Dini zote ziungane iwe dini moja, Sarafu zote ziunganishwe na kuwa moja,

Watu wote waendeshwe na AMRI moja Dunia nzima kupitia mark iliyo ndani ya CHANJO,

Sie tulistuka mapema na Magu akapenyezewa taarifa.

Wamefail Kwa muda bt wanajipanga kivungine.

Na hiyo ndo sababu kuu hatunaye Magu wetu, kuwabishia wakubwa.

Tusubiri.
 
Huu mjadara unakuwa mrefu na wanaozidi kuudhika ni wale wanaoelewa Elon alichomaanisha, wanaposhuhudia habari inapotoshwa kuhusu hiyo scam inaanzia hatua gani katika covid!
Kwa ufahamu wangu utapeli unaanzia kwenye namna ya kushughulikia tatizo la covid kwa kuibua mbinu za kibiashara ikiwemo chanjo yenye utafiti hafifu ikiambatana na mbwembwe kama za mganga wa jadi.
Lakin nitamshangaa sana atakayekana uwepo wa virus vya corona na uhatari wake! Hata jpm, may day, one man down, hakuwai kuwa na mlengo huo.
Elon anajua kuwa virus vilizalishwa kibiashara. Vikawa promoted kibiashara na makandokando yake ya kibiashara.
Corona virus was and is real,
How to combat it, imminence of danger, is a scam!
 
Pumba tupu za conspiracy
Utapeli unakuja kama ifuatavyo,

Unatengezwa UGONJWA wa mafua na watu wa Giza ktk maabara zao, unaambukizwa Kwa watu makusudi,

Halafu wanatoka kuyaambia mataifa yakopeshwe CHANJO na wakae ndani bila kufanya KAZI.

Malengo ya kuwafungia watu ndani wasifanye KAZI ni kutafuta sababu ya kuutangaza kuwa Dunia Uchumi umefilisika hivyo,

Nia ilikuwa, kuukwamua Uchumi wa Dunia, yote yasipoteze muda, IBADA zote zifanyike siku moja watayochagua,

Dini zote ziungane iwe dini moja, Sarafu zote ziunganishwe na kuwa moja,

Watu wote waendeshwe na AMRI moja Dunia nzima kupitia mark iliyo ndani ya CHANJO,

Sie tulistuka mapema na Magu akapenyezewa taarifa.

Wamefail Kwa muda bt wanajipanga kivungine.

Tusubiri.
 
Pumba tupu za conspiracy
Nenda kawachanje ndugu zako,

Red cross wametangaza miezi kadhaa imepita kuwa mtu aliyechanja haruhusiwi kufanya blood donation,

Endelea kutembea gizani.
 
Back
Top Bottom