Elon Musk: Hongera Rais Trump. Huu ni ujumbe kwa madikteta wote duniani

Hii meseji itakuwa inaenda Kwa TUNDU LISSU
 
Kule Torenza ndo itakuwa rahisi sana. Tuliskia kwamba vifaru na makombora, bunduki na risasi havikai pamoja.
 
Uvccm na ccm huu kwao ni msiba mkubwa maana hii msg inapiga mshono kabisa.
 
Mjuba trump ana usongo na ndugu yetu mzee museveni, sasa museveni asijichanganye kuwanyuka waandamanaji, trump atakuja kumnyakua kama mwewe anavyonyakua windo lake. Mzee museveni awe mpole kipindi hiki akubali kushindwa ili yasimkute makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…