Elon Musk: Hongera Rais Trump. Huu ni ujumbe kwa madikteta wote duniani

Elon Musk: Hongera Rais Trump. Huu ni ujumbe kwa madikteta wote duniani

Walinzi wa Maduro walifanywa Nini Hadi RAIS anachukuliwa kirahis hivyo?
 
Walinzi wa Maduro walifanywa Nini Hadi RAIS anachukuliwa kirahis hivyo?
Swali zuro sana, na wapo wapi?...
SWali lingine katika pambano hili askari wangapi wamekufa Venezuela
 
Elon Musk kupitia kampuni yake ya Star link katoa internet ya bure kwa wananchi wote wa Venezuela.
 
Back
Top Bottom