Elon Musk kaongeza utajiri wake kwa USD 165 billions kwa siku moja tu zaidi ya Bill Gates

Elon Musk kaongeza utajiri wake kwa USD 165 billions kwa siku moja tu zaidi ya Bill Gates

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,887
Reaction score
6,657
Elon Musk na tajiri namba moja duniani kaongeza utajiri wake kwa USD 165 Billions kwa siku moja tu ambao umeupita utajiri wa Billi Gates ambao ni 103 billions.

Sasa hivi utajiri wake Elon Musk ni 1.3 Trillions USD.
 
Niko kwenye mazungumzo nae aniunizie mtandao wa x tho naona anasua sua
 
Back
Top Bottom