Hili jamaa linakera sana. Utadhani yeye sasa ndio rais mteuliwa siyo Trump tena.
Alizidisha sana kujipendekeza kila sehemu Trump yupo naye yupo.
Katika teuzi za watu yeye kimbelembele.
Sasa wababe wa chama chao Republicans wamempiga stop hadi sasa hivi kasusia kwenda the centre of the universe (Mar-al-ago).
Wenye chama chao wamemuonya nakumuambia umeingia Republicans majuzi tu nakuanza kupelekesha watu hiyo haiwezekani.
Eti kwa hasira kawaondolea blue ticks kwenye X/Twitter kisa wamemponda kuhusu H-1B visa ambayo marekani huwapa skilled workers. Na wamemuambia go to hell.
Yani afadhali wamelidhibiti yani lilikuwa linamfuata Trump kila mahali kama kikulacho. Ukienda huku lafuata ukikatiza huku lafuata.
Hadi kwenye picha ya familia ya Trump lilikuwa linajichomeka na toto lake mabegani.
Elon Musk apunguze shobo aelewe yeye si mmarekani halisi ni mwafrika.
Ametutelekeza na bara letu ambapo lilimleta duniani akawa alivyo leo.
Republican party has fundamentally roots of christianity na Yesu muongozo jamaa ni mpagani aache kiherehere. Trump Is the President no one else.
Kwa kuwa ametusahau sisi waafrika tunamlaani na kumuombea mabaya ashuke na afilisike alingane na kina Lugumi na chief godlove huko.
Chaliifrancisco
Nyau de adriz