Elon Musk kazidisha kujipendekeza sasa kakutana na wababe huko Republican

Hili jamaa linakera sana. Utadhani yeye sasa ndio rais mteuliwa siyo Trump tena.

Alizidisha sana kujipendekeza kila sehemu Trump yupo naye yupo.

Katika teuzi za watu yeye kimbelembele.

Sasa wababe wa chama chao Republicans wamempiga stop hadi sasa hivi kasusia kwenda the centre of the universe (Mar-al-ago).

Wenye chama chao wamemuonya nakumuambia umeingia Republicans majuzi tu nakuanza kupelekesha watu hiyo haiwezekani.

Eti kwa hasira kawaondolea blue ticks kwenye X/Twitter kisa wamemponda kuhusu H-1B visa ambayo marekani huwapa skilled workers. Na wamemuambia go to hell.

Yani afadhali wamelidhibiti yani lilikuwa linamfuata Trump kila mahali kama kikulacho. Ukienda huku lafuata ukikatiza huku lafuata.

Hadi kwenye picha ya familia ya Trump lilikuwa linajichomeka na toto lake mabegani.

Elon Musk apunguze shobo aelewe yeye si mmarekani halisi ni mwafrika.

Ametutelekeza na bara letu ambapo lilimleta duniani akawa alivyo leo.

Republican party has fundamentally roots of christianity na Yesu muongozo jamaa ni mpagani aache kiherehere. Trump Is the President no one else.

Kwa kuwa ametusahau sisi waafrika tunamlaani na kumuombea mabaya ashuke na afilisike alingane na kina Lugumi na chief godlove huko.

Chaliifrancisco

Nyau de adriz
Pole sana mkuu... mbona husda yakutesa kiasi hiko?.... hebu tupe uzoefu wako kama mwanacha kindakindaki wa Republicans... ilani take ya uchaguzi inasema nini?
 
1000018074.jpg
 
Hili jamaa linakera sana. Utadhani yeye sasa ndio rais mteuliwa siyo Trump tena.

Alizidisha sana kujipendekeza kila sehemu Trump yupo naye yupo.

Katika teuzi za watu yeye kimbelembele.

Sasa wababe wa chama chao Republicans wamempiga stop hadi sasa hivi kasusia kwenda the centre of the universe (Mar-al-ago).

Wenye chama chao wamemuonya nakumuambia umeingia Republicans majuzi tu nakuanza kupelekesha watu hiyo haiwezekani.

Eti kwa hasira kawaondolea blue ticks kwenye X/Twitter kisa wamemponda kuhusu H-1B visa ambayo marekani huwapa skilled workers. Na wamemuambia go to hell.

Yani afadhali wamelidhibiti yani lilikuwa linamfuata Trump kila mahali kama kikulacho. Ukienda huku lafuata ukikatiza huku lafuata.

Hadi kwenye picha ya familia ya Trump lilikuwa linajichomeka na toto lake mabegani.

Elon Musk apunguze shobo aelewe yeye si mmarekani halisi ni mwafrika.

Ametutelekeza na bara letu ambapo lilimleta duniani akawa alivyo leo.

Republican party has fundamentally roots of christianity na Yesu muongozo jamaa ni mpagani aache kiherehere. Trump Is the President no one else.

Kwa kuwa ametusahau sisi waafrika tunamlaani na kumuombea mabaya ashuke na afilisike alingane na kina Lugumi na chief godlove huko.

Chaliifrancisco

Nyau de adriz
Mbona unajilazimisha undugu nae?
 
Yani wenye chamaa traditional members wamemshukia kama mwewe. Jamaa alizidisha kiherehere. Sasa hivi haambatani tena na Trump kama awali eti kasusa. Yani alivuka mpaka nukumuhusisha toto lake kwenye utopolo wake akimbeba mabegani wakati hilo toto lilitakiwa liwe na mama yake huko ambaye amemzuia custody. Jamaa wala siyo smart kama watu wanavyompamba imetokea tu freemasons wamemchagua
Kwa nini Mason hawajakuchagua wewe.
 
Waafrika mentality yetu ni kwamba wanakusubiri ufanikiwe eti uje uwasaidie. Awasaidie Afrika mmemsaidia kwa lipi hadi kufika alipofika?
Yes kuhusu kimbelembele na kususa susa jamaa ana tabia hiyo sana. X aka Twitter kaigeuza kama whatsapp group na yeye ndiye admin. Ndiyo maana siku hizi X umekuwa mtandao wa hovyo. Sasa hivi anakuja na X city,.
X city ni mtandao wa kijamii mpya au ni nini?
 
Umemsema Musk kama Unamsema jamaa fulani wa kijiweni kumbe ni Giant wa utajiri.

Unamsema mtu ambae akiamua Leo akae ale pesa zake ,anakula mpaka kizazi cha tatu😉😉
 
moja kati ya sifa ya jamii ambayo haijastaarabika ni watu kufuatilia mambo yasio wahusu

nimenukuu mahali hapa JF
 
Back
Top Bottom