Mwambie hata hiyo simu anayotumia walisema ni mambo ya freemasonMawazo mgando . Kwani habar za freemason ndio unasikia Leo? Mambo mangapi mpaka hii Leo yamehusishwa na freemason na bado hatukuweza kukwepa?? Tafakar upya mkuu .kwani teknolojia ngapi mpaka Leo umezipokea?
Selfishness & Personal Interests is all that matters !! WASHAMBA are those who have & are continuously being spined like DOGS and still do nothing (Except complaining !!)Serikali yetu ni washamba sana
Hapana , waulize canal plus serikali inaipinga ila hivyo visimbuzi vipo vya kutosha na mpira tunaona ......unadhani madishi ya starlink tutashindwa kununua??Nadhani kuna masafa (frequency) ambazo watatakiwa kupewa ili kuweza ku access eneo hilo, ila kwa wale wa mipakani nadhani ni possible ku access huduma hiyo kutoka nchi wanazopakana!
Inatumia satelite, limtambo lao lipo huko juu angani linaelea, wewe inahitaji ungo tu kunasa hiyo wifi yaoHow does starlink works?
If they can't compete, let them join, NI dhambi kuifunga tanzania kwa namna hiyo, huduma hii itakapokuwa inafika kila pahala hata mapoorini itasaidia ku guarantee watalii huko Mbugani, wataweza kufanya lives touring huku wakionekana marekani na kwingineko duniani, WARUHUSIWE TU.Swali je nape na timu yake Voda Airtel tigo halotel Simba net watakubali hii kitu jibu ni hapana.
ume furahisha, umeona mbaaliNajuta kuzaliwa Africa.
Tunaongozwa na vipofu.
Embu fikiria mtu asiyejua HTML na CSS ndiye Waziri wa Teknolojia,
Bila ya kukujua teknojia ndiyo future ya nchi
Angalau sasa smart TV zetu zitapata kazi
Bei ya vifaa vyote na kuwekewa ni shilingi laki 9.
kifurushi kinadumu kwa mwezi, nadhani anapanga bei kwa kuangalia uchumi wa nchi, Marekani ni 230,000/= , Nigeria ni 98,000, Hapa Kwetu si ajabu ikawa 70,000.
Ni internet ya kisasa, Speed yake ni kubwa sana, unaweza kushusha file la gb 1 speed ikiwa chini dakika 3 na speed ikiwa poa ni sekunde 50 tu, kwenye kuperuzi ni kugusa tu hakuna kusubiri, kucheki video ama video call hakuna mambo ya kuganda ganda.
Haina kikomo, ukitumia hata gb 20 kwa siku ni wewe.
Inaweza kupatikana mpaka mbugani, milimani, kwenye makorongo na sehemu remote ambazo mitandao ya simu haijaweza kufikia, Ni kama vile dstv.
.....................................................................................
ujio wake unaweza kupora wateja wengi wenye matumizi makubwa, hii ni hatari kwa makampuni ya simu na kama mjuavyo kuna watu wana hisa zao huko. Mbaya zaidi kifaa kimoja kinaweza kutumika hata kwa watu 50 kwa mpigo maana speed ni kubwa hata ikigawanywa, ni hatari ukizaliwa utamaduni wa watu kujichanga huku wakiacha kununua mabando,
Kwa kuwa internet ni ya Satelite hapa itaweza kufika hadi maporini na vijijini ambako maeneo hayo mengi internet huwa ni changamoto, hii itakuwa changamoto kwa mitandao ya simu hasa katika miji inayokuwa wakitaka kuweka minara watakuta tayari watu wameshazoea starlink.
..............................................................................
HITIMISHO
Kwa hali hii nadhani naanza kuelewa kwanini vibali vinacheleweshwa, sitashangaa njia ya kumuondosha ikiwa ni tozo nzito sana zitazofanya hata kifurushi kuwa bei mno ama tukaja sikia kisingizio kwamba huduma inaharibu mazingira, n.k.
Unaweza ukawa una muheshimu mtu vizuri tu kumbe hana ub*ngo.Shauri zenu endeleeni kushabikia tu Freemason. Mkishatoa kafara wapendwa wenu halafu ifike zamu yako wakunyofoe viungo utabaki kulialia laiti ningejuwa but too late.
😄😄 Hapo Lazima Land alienation, forced labour na triangular trade itahusika kuongezea kwny hizo pointsThrough photosynthesis and respiration cellular respiration haemoglobin mega structure infusion of amateur sleuths insense of sistavangas.
Wanmchelewesha sio anachelewa. Kaomba vibali bado kimyaa... Halafu akina Mwigulu wanahaha ati wanatafuta wawekezaji na kuwapa motisha. Ndio mjue ccm inavyotutakia maisha mema. Kampuni hii ikija itasababisha hata hizi bando za kawaida kupungua beiJamaa anachelewa nn
Ndio mana wanamchelewesha ili aingie king (ubia wa shuruti)Je ccm itakubali ? maana wao huwa wanataka fungu la 10
Egypt ni Africa lakini kielimu wako mbali tokea kale wasomi wengi walikuwa ndoto yao kufika Egypt kuchukua madini.Najuta kuzaliwa Africa.
Tunaongozwa na vipofu.
Embu fikiria mtu asiyejua HTML na CSS ndiye Waziri wa Teknolojia,
Bila ya kukujua teknojia ndiyo future ya nchi
Si yeye Bali huku kwetu. Wanahitaji mambo kadhaa kutoka kwake kabla hawajamruhusu kuingia soko letu. Ila kama anavyotueleza mleta mada, kuna watu wanachelea maslahi yao yatazimwa kwa ujio huu.Jamaa anachelewa nn
Elon vibali kaomba Tanzania toka mwishoni mwa mwaka jana, anaambia habari za operational standards.Si yeye Bali huku kwetu. Wanahitaji mambo kadhaa kutoka kwake kabla hawajamruhusu kuingia soko letu. Ila kama anavyotueleza mleta mada, kuna watu wanachelea maslahi yao yatazimwa kwa ujio huu.
Waiting for approval, kweli kwa speed hii, ya kukaribisha uwekezaji, hii ndiyo speed sahihi?, baadhi wajitafakari kiutendaji wapigwe chini.Inahitaji approvals za serikaliView attachment 2513083
Hongera Rwanda huku tunakata bado viuno!Elon vibali kaomba Tanzania toka mwishoni mwa mwaka jana, anaambia habari za operational standards.
Rwanda wamechangamkia dili, wamempa licence tayari.