Msituni kwa sababu gan?...Huku ndio Kuupiga mwingi Kwa Mama, Kwa Kutafuta Wawekezaji???
Mwisho wake SI Elon kufunga Virago vyake na kuhamis Nchi nyingine, Kwa Hasara yetu?
Imetosha.... Sasa tuingie Msituni kukabiliana na Ujinga huu !!?
Yaelekea umevurugika kwenye ubongo wako, Vita vitakusaidia nini?, endapo unashindwa kutumia amani iliyopo!...Usikimbie! Ni kwenu. Hamasisha Watu tuingie Msituni, tuheshimiane!...
Utawaacha TTCL Mtandao wakoBora aje tu mi mwenyewe nitahamia huko haloooooo
Uvutaji wa bangi ni hatari kwa afya ya akili zetu.Msituni kwa sababu gan?
Wewe wavizie hawa uwapokonye pumzi
Nape
January
Mwigu
Rosta
Basi utakumbukwa kwa ushujaa wako
Freemason ni nini?Tatizo mkuu ni Freemason ndo maana serikali yetu inasitasita inajua. Ni kwa faida yetu tusiingie kichwa kichwa tu. Maisha na Uhai wa mtanzania ni muhimu sana usiwekwe rehani eti kwasababu tu ya wazungu kuzuru na kuzuga huko mbugani. NASEMA HAPANA!
Yey mwenyew musk kakimbia south Africa.......Usikimbie! Ni kwenu. Hamasisha Watu tuingie Msituni, tuheshimiane!...
Uende wapi sasa mkuu?Mimi mwaka huu lazima nikimbie nchi...
Tayari nimeshakuwini kisaikolojia na ndio hicho haswa nilikuwa nang'ang'ania kuhangaika na kusumbuka kutafuta.Mtu anauliza genuinely kutaka kujua wewe unajibu pumba, na bado eti watu wame likes huo ujinga. It's so strange how can someone waste time and bundle to comment nonsense and stupid stuff.
"wezi wamerudi tena round hii wana mitambo"jana nilimuonesha Musk MB 400 ninazopewa kwa shilingi elfu 1000 alisikitika sana
akauliza mbona mnafanya kama kereng'ende nikamwambia ndiyo hivyo baba wezi wamerudi tena na round hii wanamitambo 5G
[emoji16][emoji16][emoji16] karibu Tanzania.Through photosynthesis and respiration cellular respiration haemoglobin mega structure infusion of amateur sleuths insense of sistavangas.
Laki 9 parefuBei ya vifaa vyote na kuwekewa ni shilingi laki 9.
Kama nchi itakuwa mikononi mwa msikivu wa kweli ataruhusu wananchi wale bata
Bei ya vifaa vyote na kuwekewa ni shilingi laki 9.
.
..............................................................................
HITIMISHO
Kwa hali hii nadhani naanza kuelewa kwanini vibali vinacheleweshwa, sitashangaa njia ya kumuondosha ikiwa ni tozo nzito sana zitazofanya hata kifurushi kuwa bei mno ama tukaja sikia kisingizio kwamba huduma inaharibu mazingira, n.k.
Starlink ni "fixed terminal access" meaning unaiset sehemu (ofisini au nyumbani) inakaa ndo una access internet, ni kama DSTV dish huwezi tembea nalo so sio competitor wa Mobile Operator hata kidogo.
Bei ya vifaa vyote na kuwekewa ni shilingi laki 9.
kifurushi kinadumu kwa mwezi, nadhani anapanga bei kwa kuangalia uchumi wa nchi, Marekani ni 230,000/= , Nigeria ni 98,000, Hapa Kwetu si ajabu ikawa 70,000.
Ni internet ya kisasa, Speed yake ni kubwa sana, unaweza kushusha file la gb 1 speed ikiwa chini dakika 3 na speed ikiwa poa ni sekunde 50 tu, kwenye kuperuzi ni kugusa tu hakuna kusubiri, kucheki video ama video call hakuna mambo ya kuganda ganda.
Haina kikomo, ukitumia hata gb 20 kwa siku ni wewe.
Inaweza kupatikana mpaka mbugani, milimani, kwenye makorongo na sehemu remote ambazo mitandao ya simu haijaweza kufikia, Ni kama vile dstv.
.....................................................................................
ujio wake unaweza kupora wateja wengi wenye matumizi makubwa, hii ni hatari kwa makampuni ya simu na kama mjuavyo kuna watu wana hisa zao huko. Mbaya zaidi kifaa kimoja kinaweza kutumika hata kwa watu 50 kwa mpigo maana speed ni kubwa hata ikigawanywa, ni hatari ukizaliwa utamaduni wa watu kujichanga huku wakiacha kununua mabando,
Kwa kuwa internet ni ya Satelite hapa itaweza kufika hadi maporini na vijijini ambako maeneo hayo mengi internet huwa ni changamoto, hii itakuwa changamoto kwa mitandao ya simu hasa katika miji inayokuwa wakitaka kuweka minara watakuta tayari watu wameshazoea starlink.
..............................................................................
HITIMISHO
Kwa hali hii nadhani naanza kuelewa kwanini vibali vinacheleweshwa, sitashangaa njia ya kumuondosha ikiwa ni tozo nzito sana zitazofanya hata kifurushi kuwa bei mno ama tukaja sikia kisingizio kwamba huduma inaharibu mazingira, n.k.
Mkuu shukran umeelezea vizuri kabisa.Starlink ni "fixed terminal access" meaning unaiset sehemu (ofisini au nyumbani) inakaa ndo una access internet, ni kama DSTV dish huwezi tembea nalo so sio competitor wa Mobile Operator hata kidogo.
Wame-target zaidi remote locations zisizo na access mfano unaproject porini au baharini na hata ukiwa nayo mjini ni kwa ajili ya fixed access. Antena na Dish ya Starlink utaibeba uende nayo kariakoo au posta upate internet ukiwa on the move? Hilo gap ndo ana-cover Voda, Tigo etc.
Hizi ni two different use cases. Wata-coexist vizuri tu bila shida. Kwa Internet service providers wa majumbani na ofisi ambazo ni small businesses hapa ligi itawaka moto.
Nili pata wazo la kuandika Uzi kama huu....
Bei ya vifaa vyote na kuwekewa ni shilingi laki 9.
kifurushi kinadumu kwa mwezi, nadhani anapanga bei kwa kuangalia uchumi wa nchi, Marekani ni 230,000/= , Nigeria ni 98,000, Hapa Kwetu si ajabu ikawa 70,000.
Ni internet ya kisasa, Speed yake ni kubwa sana, unaweza kushusha file la gb 1 speed ikiwa chini dakika 3 na speed ikiwa poa ni sekunde 50 tu, kwenye kuperuzi ni kugusa tu hakuna kusubiri, kucheki video ama video call hakuna mambo ya kuganda ganda.
Haina kikomo, ukitumia hata gb 20 kwa siku ni wewe.
Inaweza kupatikana mpaka mbugani, milimani, kwenye makorongo na sehemu remote ambazo mitandao ya simu haijaweza kufikia, Ni kama vile dstv.
.....................................................................................
ujio wake unaweza kupora wateja wengi wenye matumizi makubwa, hii ni hatari kwa makampuni ya simu na kama mjuavyo kuna watu wana hisa zao huko. Mbaya zaidi kifaa kimoja kinaweza kutumika hata kwa watu 50 kwa mpigo maana speed ni kubwa hata ikigawanywa, ni hatari ukizaliwa utamaduni wa watu kujichanga huku wakiacha kununua mabando,
Kwa kuwa internet ni ya Satelite hapa itaweza kufika hadi maporini na vijijini ambako maeneo hayo mengi internet huwa ni changamoto, hii itakuwa changamoto kwa mitandao ya simu hasa katika miji inayokuwa wakitaka kuweka minara watakuta tayari watu wameshazoea starlink.
..............................................................................
HITIMISHO
Kwa hali hii nadhani naanza kuelewa kwanini vibali vinacheleweshwa, sitashangaa njia ya kumuondosha ikiwa ni tozo nzito sana zitazofanya hata kifurushi kuwa bei mno ama tukaja sikia kisingizio kwamba huduma inaharibu mazingira, n.k.
As long as NAPE ni waziri sahau kuhusu hiyo huduma kufika TZ.