Elon Musk kuleta Intaneti ni tishio kwa mitandao ya simu, atapora wateja wenye matumizi makubwa na kuteka soko sehemu ambazo network inasumbua

Bwana Nape Moses Mnauye hatakubali hii kitu kwa sababu Kama tu amekua wakala wa kupiga debe kupanda kwa gharama za data pamoja na ukomo wa bundle! Atakubalije wakati US na rushwa kidogo Kuna ugumu? Tutarwjie sarakasi na Mambo kibao ikiwemo intelijensia usalama na mazingira
 
...Huku ndio Kuupiga mwingi Kwa Mama, Kwa Kutafuta Wawekezaji???
Mwisho wake SI Elon kufunga Virago vyake na kuhamis Nchi nyingine, Kwa Hasara yetu?
Imetosha.... Sasa tuingie Msituni kukabiliana na Ujinga huu !!?
Msituni kwa sababu gan?

Wewe wavizie hawa uwapokonye pumzi
Nape
January
Mwigu
Rosta
Basi utakumbukwa kwa ushujaa wako
 
Tatizo mkuu ni Freemason ndo maana serikali yetu inasitasita inajua. Ni kwa faida yetu tusiingie kichwa kichwa tu. Maisha na Uhai wa mtanzania ni muhimu sana usiwekwe rehani eti kwasababu tu ya wazungu kuzuru na kuzuga huko mbugani. NASEMA HAPANA!
Freemason ni nini?
 
...Usikimbie! Ni kwenu. Hamasisha Watu tuingie Msituni, tuheshimiane!...
Yey mwenyew musk kakimbia south Africa....

Hata mimi lazima nikimbie...hebu nipate hiyo international driving lisence nijiendee ujerumani..
 
.Mtu anauliza genuinely kutaka kujua wewe unajibu pumba, na bado eti watu wame likes huo ujinga. It's so strange how can someone waste time and bundle to comment nonsense and stupid stuff.
Tayari nimeshakuwini kisaikolojia na ndio hicho haswa nilikuwa nang'ang'ania kuhangaika na kusumbuka kutafuta
 
jana nilimuonesha Musk MB 400 ninazopewa kwa shilingi elfu 1000 alisikitika sana

akauliza mbona mnafanya kama kereng'ende nikamwambia ndiyo hivyo baba wezi wamerudi tena na round hii wanamitambo 5G
"wezi wamerudi tena round hii wana mitambo"

by nikki mbishi kwnye mtzamo remix.
 
faedf590-43a0-11ec-bf5e-027e37078eee

Bei ya vifaa vyote na kuwekewa ni shilingi laki 9.
.
..............................................................................

HITIMISHO

Kwa hali hii nadhani naanza kuelewa kwanini vibali vinacheleweshwa, sitashangaa njia ya kumuondosha ikiwa ni tozo nzito sana zitazofanya hata kifurushi kuwa bei mno ama tukaja sikia kisingizio kwamba huduma inaharibu mazingira, n.k.
Kama nchi itakuwa mikononi mwa msikivu wa kweli ataruhusu wananchi wale bata
 
faedf590-43a0-11ec-bf5e-027e37078eee

Bei ya vifaa vyote na kuwekewa ni shilingi laki 9.

kifurushi kinadumu kwa mwezi, nadhani anapanga bei kwa kuangalia uchumi wa nchi, Marekani ni 230,000/= , Nigeria ni 98,000, Hapa Kwetu si ajabu ikawa 70,000.

Ni internet ya kisasa, Speed yake ni kubwa sana, unaweza kushusha file la gb 1 speed ikiwa chini dakika 3 na speed ikiwa poa ni sekunde 50 tu, kwenye kuperuzi ni kugusa tu hakuna kusubiri, kucheki video ama video call hakuna mambo ya kuganda ganda.

Haina kikomo, ukitumia hata gb 20 kwa siku ni wewe.

Inaweza kupatikana mpaka mbugani, milimani, kwenye makorongo na sehemu remote ambazo mitandao ya simu haijaweza kufikia, Ni kama vile dstv.
.....................................................................................

ujio wake unaweza kupora wateja wengi wenye matumizi makubwa, hii ni hatari kwa makampuni ya simu na kama mjuavyo kuna watu wana hisa zao huko. Mbaya zaidi kifaa kimoja kinaweza kutumika hata kwa watu 50 kwa mpigo maana speed ni kubwa hata ikigawanywa, ni hatari ukizaliwa utamaduni wa watu kujichanga huku wakiacha kununua mabando,

Kwa kuwa internet ni ya Satelite hapa itaweza kufika hadi maporini na vijijini ambako maeneo hayo mengi internet huwa ni changamoto, hii itakuwa changamoto kwa mitandao ya simu hasa katika miji inayokuwa wakitaka kuweka minara watakuta tayari watu wameshazoea starlink.
..............................................................................

HITIMISHO

Kwa hali hii nadhani naanza kuelewa kwanini vibali vinacheleweshwa, sitashangaa njia ya kumuondosha ikiwa ni tozo nzito sana zitazofanya hata kifurushi kuwa bei mno ama tukaja sikia kisingizio kwamba huduma inaharibu mazingira, n.k.
Starlink ni "fixed terminal access" meaning unaiset sehemu (ofisini au nyumbani) inakaa ndo una access internet, ni kama DSTV dish huwezi tembea nalo so sio competitor wa Mobile Operator hata kidogo.

Wame-target zaidi remote locations zisizo na access mfano unaproject porini au baharini na hata ukiwa nayo mjini ni kwa ajili ya fixed access. Antena na Dish ya Starlink utaibeba uende nayo kariakoo au posta upate internet ukiwa on the move? Hilo gap ndo ana-cover Voda, Tigo etc.

Hizi ni two different use cases. Wata-coexist vizuri tu bila shida. Kwa Internet service providers wa majumbani na ofisi ambazo ni small businesses hapa ligi itawaka moto.
 
Mkuu shukran umeelezea vizuri kabisa.
 
Kinacho-delay Starlink kupewa leseni hapa TZ, serikali wanawaza risk ya kupoteza uwezo wa kufanya "internet censorship". Kama mjuavyo, serikali yetu pendwa imeweka sheria zinazoipa nguvu na mamlaka kublock baadhi ya maudhui/content au sites mfano Porn sites, activists au kupiga pini Twitter due to politics kma alivyofanya JPM.

Starlink na mfumo wa satelite hawana ground stations hapa TZ hivyo hawaconnect kwenye local internet exchange (TiX) iliyopo Dar-es-salaam kma ISP wengine ambapo serikali inaweza kuwapiga pini nini wafanye na nini wasifanye. Wana ground station nchi za mbali.

Statlink wana-operate wakiamini katika "freedom" of the internet and it being a stubborn US company sijui wata-compromise vipi kukubali conditions za serikali. Lakini mwisho watapewa Leseni kwa sababu regime ya SSH itapenda kumaintain mood nzuri kwa investors wakubwa kma Starlink.

Case ya Uber imetuonesha uhalisia wa mambo, ukizingua wanasepa mpk akili ikae sawa.
 
faedf590-43a0-11ec-bf5e-027e37078eee

Bei ya vifaa vyote na kuwekewa ni shilingi laki 9.

kifurushi kinadumu kwa mwezi, nadhani anapanga bei kwa kuangalia uchumi wa nchi, Marekani ni 230,000/= , Nigeria ni 98,000, Hapa Kwetu si ajabu ikawa 70,000.

Ni internet ya kisasa, Speed yake ni kubwa sana, unaweza kushusha file la gb 1 speed ikiwa chini dakika 3 na speed ikiwa poa ni sekunde 50 tu, kwenye kuperuzi ni kugusa tu hakuna kusubiri, kucheki video ama video call hakuna mambo ya kuganda ganda.

Haina kikomo, ukitumia hata gb 20 kwa siku ni wewe.

Inaweza kupatikana mpaka mbugani, milimani, kwenye makorongo na sehemu remote ambazo mitandao ya simu haijaweza kufikia, Ni kama vile dstv.
.....................................................................................

ujio wake unaweza kupora wateja wengi wenye matumizi makubwa, hii ni hatari kwa makampuni ya simu na kama mjuavyo kuna watu wana hisa zao huko. Mbaya zaidi kifaa kimoja kinaweza kutumika hata kwa watu 50 kwa mpigo maana speed ni kubwa hata ikigawanywa, ni hatari ukizaliwa utamaduni wa watu kujichanga huku wakiacha kununua mabando,

Kwa kuwa internet ni ya Satelite hapa itaweza kufika hadi maporini na vijijini ambako maeneo hayo mengi internet huwa ni changamoto, hii itakuwa changamoto kwa mitandao ya simu hasa katika miji inayokuwa wakitaka kuweka minara watakuta tayari watu wameshazoea starlink.
..............................................................................

HITIMISHO

Kwa hali hii nadhani naanza kuelewa kwanini vibali vinacheleweshwa, sitashangaa njia ya kumuondosha ikiwa ni tozo nzito sana zitazofanya hata kifurushi kuwa bei mno ama tukaja sikia kisingizio kwamba huduma inaharibu mazingira, n.k.
Nili pata wazo la kuandika Uzi kama huu....
Lazima hili jambo liwekewe figisu figisu....SPACE X na hii technology ni balaa..
Naona fursa sana kwenye hili jambo....
 
As long as NAPE ni waziri sahau kuhusu hiyo huduma kufika TZ.

You are very right, nape ni kama kibaka. I am told telecoms operating in Tanzania have pooled fund to bribe everyone in the system including our lady, to make sure Elon does not operate here
 
900K ipo mfuko wa shati . Tuendelee kupiga kelele ili Nape na genge lake waache kuwafanyia figisufigisu.
 
Back
Top Bottom