Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nashangaa sana eti hiv hii nchi sijui ipojeHili ni Jambo jema kwa Nchi ila Tatizo litakuja kwa serikali yetu hii... Hapa ndo mtachoka na waambia, hio starlink itapigwa kodi mpaka mtashangaa, tutarudi palepale kwenye 3000 kwa GB 1.
Hebu imagine nchi kama hii et wanazuia njia za mtu kupokea pesa from abroad, seriously?
Embu dadavua mkuu... ongeza nyama... ungo wa nini?Inatumia satelite, limtambo lao lipo huko juu angani linaelea, wewe inahitaji ungo tu kunasa hiyo wifi yao
Kwahiyo hii internet inakuwa ni ukiwa nyumbani tu au ofisini? Vinginevyo mi na simu yangu popote ntaitumia vp wakati dish liko nyumbani au ofisini?Inatumia satelite, limtambo lao lipo huko juu angani linaelea, wewe inahitaji ungo tu kunasa hiyo wifi yao
Ila mzungu, Mungu kamzawadia miakili hadi inamwagikaa[emoji848]Inatumia satelite, limtambo lao lipo huko juu angani linaelea, wewe inahitaji ungo tu kunasa hiyo wifi yao
Tatizo mkuu ni Freemason ndo maana serikali yetu inasitasita inajua. Ni kwa faida yetu tusiingie kichwa kichwa tu. Maisha na Uhai wa mtanzania ni muhimu sana usiwekwe rehani eti kwasababu tu ya wazungu kuzuru na kuzuga huko mbugani. NASEMA HAPANA!If they can't compete, let them join, NI dhambi kuifunga tanzania kwa namna hiyo, huduma hii itakapokuwa inafika kila pahala hata mapoorini itasaidia ku guarantee watalii huko Mbugani, wataweza kufanya lives touring huku wakionekana marekani na kwingineko duniani, WARUHUSIWE TU.
Misri wale wako mbali sana. Hata kilimo chao ni cha kisayansi sana na wanalima kwenye mazingira magumu. Ikija kwenye architecture wako njema sana. Angalia wanavyoi monitor na kuimudu Suez Canal moyo wa biashara ya logistics duniani?!Egypt ni Africa lakini kielimu wako mbali tokea kale wasomi wengi walikuwa ndoto yao kufika Egypt kuchukua madini.
Bila hilo hii nchi ingekuwa mbali sana ila shida ni ubinafsi na ulafi wa viongozi na tumeifanya kuwa norm.Hata kwenye simenti za dangote mlisema hivyo lakini haikushuka bei corruption is our great enemy tutabadilisha katiba na mitaala mashuleni na vyuoni lakini Kama tabia zetu na maalezi yetu hayatabadilika umaskini unakuja Kama jambazi
Huyo hawampi leseni, watazugisha documents sijui bla blaah...Wanmchelewesha sio anachelewa. Kaomba vibali bado kimyaa... Halafu akina Mwigulu wanahaha ati wanatafuta wawekezaji na kuwapa motisha. Ndio mjue ccm inavyotutakia maisha mema. Kampuni hii ikija itasababisha hata hizi bando za kawaida kupungua bei
Viongozi watu wa 10% sasa kampuni zinazotoa hizo percent ujio wa Elon Musk utaziumiza kwahio kete yao ni waziri kumkataa mwekezaji kupitia usumbufu wa kijinga wa document.
Ubaya wa hii nchi, viongozi wetu ni wafanyabiashara na hii inaleta mgongano wa kimaslahi ambao mara nyingi maamuzi yake huumiza wananchi.
Waziri yeye ana unlimited ofisini, kwenye simu na nyumbani kwake.Ni sisi wananchi ndio tutapata maumivu kwa kuwa nyuma kiteknolojia, hao vigogo tayari washajivutia intenet ya mkonge unlimited majumbani kwao huku sisi wananchi bado tunanunua za kupimiwa MB / GB utadhani tunanunua ndonya za mchele
Inafanya popote lilipo dish lako, as long as uko na dish lako hata kama unasafiri itafanya kaziKwahiyo hii internet inakuwa ni ukiwa nyumbani tu au ofisini? Vinginevyo mi na simu yangu popote ntaitumia vp wakati dish liko nyumbani au ofisini?
Umeonhea ukweli wanachelewesha makusudi hii bongo tutafika mbinguni hoi![]()
Bei ya vifaa vyote na kuwekewa ni shilingi laki 9.
kifurushi kinadumu kwa mwezi, nadhani anapanga bei kwa kuangalia uchumi wa nchi, Marekani ni 230,000/= , Nigeria ni 98,000, Hapa Kwetu si ajabu ikawa 70,000.
Ni internet ya kisasa, Speed yake ni kubwa sana, unaweza kushusha file la gb 1 speed ikiwa chini dakika 3 na speed ikiwa poa ni sekunde 50 tu, kwenye kuperuzi ni kugusa tu hakuna kusubiri, kucheki video ama video call hakuna mambo ya kuganda ganda.
Haina kikomo, ukitumia hata gb 20 kwa siku ni wewe.
Inaweza kupatikana mpaka mbugani, milimani, kwenye makorongo na sehemu remote ambazo mitandao ya simu haijaweza kufikia, Ni kama vile dstv.
.....................................................................................
ujio wake unaweza kupora wateja wengi wenye matumizi makubwa, hii ni hatari kwa makampuni ya simu na kama mjuavyo kuna watu wana hisa zao huko. Mbaya zaidi kifaa kimoja kinaweza kutumika hata kwa watu 50 kwa mpigo maana speed ni kubwa hata ikigawanywa, ni hatari ukizaliwa utamaduni wa watu kujichanga huku wakiacha kununua mabando,
Kwa kuwa internet ni ya Satelite hapa itaweza kufika hadi maporini na vijijini ambako maeneo hayo mengi internet huwa ni changamoto, hii itakuwa changamoto kwa mitandao ya simu hasa katika miji inayokuwa wakitaka kuweka minara watakuta tayari watu wameshazoea starlink.
..............................................................................
HITIMISHO
Kwa hali hii nadhani naanza kuelewa kwanini vibali vinacheleweshwa, sitashangaa njia ya kumuondosha ikiwa ni tozo nzito sana zitazofanya hata kifurushi kuwa bei mno ama tukaja sikia kisingizio kwamba huduma inaharibu mazingira, n.k.
Hiyo kitu ushindani sahau katika nchi ya kijima kama hii yetu,nchi ambayo karne ya 21 imepiga marufuku kitu kama paypal kwa sababu zisizoeleweka ndio waruhusu internet ya starlink halafu ije kuua kampuni zao walizoweka hisa!Ushindani ni mzuri hata simu za mikononi zilishuka bei kwasababu ya ushindani. Tusiwe wepesi kukataa maendeleo ya teknologia kwa kohofia kodi. Je, tunakusanya kodi kiasi gani leo kwenye simu za nyumbani? zero.
MASHETANIHili ni Jambo jema kwa Nchi ila Tatizo litakuja kwa serikali yetu hii... Hapa ndo mtachoka na waambia, hio starlink itapigwa kodi mpaka mtashangaa, tutarudi palepale kwenye 3000 kwa GB 1.
Hebu imagine nchi kama hii et wanazuia njia za mtu kupokea pesa from abroad, seriously?
...Wameishaweza Kumchelewesha!...[emoji35][emoji35]Hawawezi kushindana na wakati. Wakithubutu wataishia kupata maumivu.