Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Kwenu mabadiliko ni wizi tu wa kila kitu.Sehemu walizoanza kutoa huduma Kuna mabadiliko yoyote?
Mfano Kenya na nchi zingine?
Wananchi wao wanasemaje?
Kwani Starlink ni vifurushi ni bure?Sisi bado Serikali yetu inatulazimisha kununua vifurushi vya 1.4GB kutoka Vodacom/Airtel/Yass ambapo tunauziwa Kwa shilingi 3,000
Yap, ime force safaricom na wenzie washushe gharama ya vifurushi. Now internet services zinafika maeneo ambayo local SP hawafiki, na kwa speed kubwaSehemu walizoanza kutoa huduma Kuna mabadiliko yoyote?
Mfano Kenya na nchi zingine?
Wananchi wao wanasemaje?
Yap, ime force safaricom na wenzie washushe gharama ya vifurushi. Now internet services zinafika maeneo ambayo local SP hawafiki, na kwa speed kubwa
Ajira wise zimeongezeka, since vijana sasa wana access na internet, imekuwa rahis kwao kutengeneza online business without ku relocate kwenda miji mikuu
Hayo ni machache yaliyopo kenya
Zero IQ na mental illness vinakuhusuSehemu walizoanza kutoa huduma Kuna mabadiliko yoyote?
Mfano Kenya na nchi zingine?
Wananchi wao wanasemaje?