Elon Musk: Mimi asili yangu ni Israel

Elon Musk: Mimi asili yangu ni Israel

Anajua kuwachota mazombi, hapo analimda biashara zake ameamua kuonyesha uwepo wake kwa wale wana hawachelewagi kuyumbisha mizani.
 
Anajua kuwachota mazombi, hapo analimda biashara zake ameamua kuonyesha uwepo wake kwa wale wana hawachelewagi kuyumbisha mizani.
Na huyu anawachota Mazombi gani? Sasa hivi tunapiga Tungi kwenye Ardhi ya mtume.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-01-29-08-23-11-22.png
    Screenshot_2024-01-29-08-23-11-22.png
    174.6 KB · Views: 6
But he is not black.They invaded Holly Land to proclaim themselves as Jew-ish
Israel is in Africa, somewhere between Uganda and Tanzania
Huu ndo uchawi sasa, hivi watu weusi tuna shida gani hasa watanzania...! Kwahiyo unataka kusema Wahaya ndo Wayahudi OG🙄
 
Ndugu Waislamu tuachane kutumia mitandao ya Makafir na Mayahudi kama hiyo Facebook na X.
Unapotafuta ujiko fanya japo udadavuzi kidogo.
Yaani kujiita Matola uliona nuksi ukaona uweke Dr.
Ukaona bado wacha uongeze na PHD. kesho utaona haipendezi utakandamizia na MRS juu yake.
Shwaini wahed.
 
Huu ndo uchawi sasa, hivi watu weusi tuna shida gani hasa watanzania...! Kwahiyo unataka kusema Wahaya ndo Wayahudi OG[emoji849]
Sasa kipi unashangaa hapa?
Kuna MKRISTO YYT ambae anakataa kuwa yeye SIO MYAHUDI?
We km unadai Sio myahudi basi dhambi zako yesu habebi.
Labda Umpelekee Pengo lkn andaa fungu la kumi la kushiba.
Ukipelea buku jero utapewa kichapo na mabaunsa pale .
 
Back
Top Bottom