permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Kwamba Karamojong ndio walikuwa jews? hii ni historia mpya.But he is not black.They invaded Holly Land to proclaim themselves as Jew-ish
Israel is in Africa, somewhere between Uganda and Tanzania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumeanza lini urafiki na Mayahudi na Makafir?
Na huyu anawachota Mazombi gani? Sasa hivi tunapiga Tungi kwenye Ardhi ya mtume.Anajua kuwachota mazombi, hapo analimda biashara zake ameamua kuonyesha uwepo wake kwa wale wana hawachelewagi kuyumbisha mizani.
Huu ndo uchawi sasa, hivi watu weusi tuna shida gani hasa watanzania...! Kwahiyo unataka kusema Wahaya ndo Wayahudi OG🙄But he is not black.They invaded Holly Land to proclaim themselves as Jew-ish
Israel is in Africa, somewhere between Uganda and Tanzania
Unapotafuta ujiko fanya japo udadavuzi kidogo.Ndugu Waislamu tuachane kutumia mitandao ya Makafir na Mayahudi kama hiyo Facebook na X.
Sasa kipi unashangaa hapa?Huu ndo uchawi sasa, hivi watu weusi tuna shida gani hasa watanzania...! Kwahiyo unataka kusema Wahaya ndo Wayahudi OG[emoji849]