Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Elon hajamwagwa bali anajiondoa taratibu baada ya siasa za Trump na cheo chake kuathiri biashara zake karibu kote ulimwenguniWakuu Elon Musk alikuwa Special employee wa Serikali ya Marekani ku lead Department of Efficiency(DOGE) tumekuwa tukisema umu kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja
Bunge la marekani na Wapinzani wa Trump mara kadhaa wamesikika wakilaumu kuwa Mamlaka ya Elon yanavuka Mipaka
Trump was somehow kimya kwa vile elon pia alihusika na Kampeni zake pakubwa sana haswa mitandaoni kumpigia Chapuo trump
it's just a matter of time, Elon ana exit Serikali ya trump Siku izi za Mwisho May
Hayupo satified na Budget ya Trump afu hio kujiondoa kimya Kimya ni Diplomasia tu ndio inatumika ili Kutoharibu mambo ila in real sense hao jamaa wameshindwanaElon hajamwagwa bali anajiondoa taratibu baada ya siasa za Trump na cheo chake kuathiri biashara zake karibu kote ulimwenguni
BBC wamepost mkuuMada haina hata ushahidi, mwandishi ameota ndoto.
Toa habari kwa ukamilifu na si kwa kupotosha wala kupendelea.Wakuu Elon Musk alikuwa Special employee wa Serikali ya Marekani ku lead Department of Efficiency(DOGE) tumekuwa tukisema umu kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja
Bunge la marekani na Wapinzani wa Trump mara kadhaa wamesikika wakilaumu kuwa Mamlaka ya Elon yanavuka Mipaka
Trump was somehow kimya kwa vile elon pia alihusika na Kampeni zake pakubwa sana haswa mitandaoni kumpigia Chapuo trump
it's just a matter of time, Elon ana exist Serikali ya trump Siku izi za Mwisho May
Itaendelea…..Wakuu Elon Musk alikuwa Special employee wa Serikali ya Marekani ku lead Department of Efficiency(DOGE) tumekuwa tukisema umu kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja
Bunge la marekani na Wapinzani wa Trump mara kadhaa wamesikika wakilaumu kuwa Mamlaka ya Elon yanavuka Mipaka
Trump was somehow kimya kwa vile elon pia alihusika na Kampeni zake pakubwa sana haswa mitandaoni kumpigia Chapuo trump
it's just a matter of time, Elon ana exit Serikali ya trump Siku izi za Mwisho May
Mambo ya Marekani maskini km wewe ambaye hujayaweza ya kwenu yanakuhusu nini. Pambana na ufukara wako na wa ukoo wako hao wameshatoboa we bwegeWakuu Elon Musk alikuwa Special employee wa Serikali ya Marekani ku lead Department of Efficiency(DOGE) tumekuwa tukisema umu kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja
Bunge la marekani na Wapinzani wa Trump mara kadhaa wamesikika wakilaumu kuwa Mamlaka ya Elon yanavuka Mipaka
Trump was somehow kimya kwa vile elon pia alihusika na Kampeni zake pakubwa sana haswa mitandaoni kumpigia Chapuo trump
it's just a matter of time, Elon ana exit Serikali ya trump Siku izi za Mwisho May
Elon hajamwagwa bali anajiondoa taratibu baada ya siasa za Trump na cheo chake kuathiri biashara zake karibu kote ulimwenguni
Hivi mnajua hata mkataba wa Elon ulikuwaje? Au ndiyo twende Kibongobongo tuendelee tu kujadili kichwakichwa?Hayupo satified na Budget ya Trump afu hio kujiondoa kimya Kimya ni Diplomasia tu ndio inatumika ili Kutoharibu mambo ila in real sense hao jamaa wameshindwana
Ndo hapo sasa!Hivi mnajua hata mkataba wa Elon ulikuwaje? Au ndiyo twende Kibongobongo tuendelee tu kujadili kichwakichwa?
Who cares?Wakuu Elon Musk alikuwa Special employee wa Serikali ya Marekani ku lead Department of Efficiency(DOGE) tumekuwa tukisema umu kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja
Bunge la marekani na Wapinzani wa Trump mara kadhaa wamesikika wakilaumu kuwa Mamlaka ya Elon yanavuka Mipaka
Trump was somehow kimya kwa vile elon pia alihusika na Kampeni zake pakubwa sana haswa mitandaoni kumpigia Chapuo trump
it's just a matter of time, Elon ana exit Serikali ya trump Siku izi za Mwisho May
Katika kulishana taarifa Waafrika wana shida sana, hawajui nguvu ya taarifa sahihi matokeo yake wanapotoshana halafu wanaanza kulia kwamba wanachukiwa, na kuonewa kumbe wamerogana wenyewe kwa kupotoshana.Ndo hapo sasa!
Elon alikuwa ni special government employee na sheria inasema huyo SGE atahudumu kwa siku zisizozidi 130 katika siku 365.
Muda wake umeisha.
Asante kwa kuliweka hili waziNdo hapo sasa!
Elon alikuwa ni special government employee na sheria inasema huyo SGE atahudumu kwa siku zisizozidi 130 katika siku 365.
Muda wake umeisha.
Mbona bwege mwenzetu una hasira kiasi hiki?😂😂😂😂Mambo ya Marekani maskini km wewe ambaye hujayaweza ya kwenu yanakuhusu nini. Pambana na ufukara wako na wa ukoo wako hao wameshatoboa we bwege
Haina shida. Muda wake umeisha.Asante kwa kuliweka hili wazi
reference.......Wakuu Elon Musk alikuwa Special employee wa Serikali ya Marekani ku lead Department of Efficiency(DOGE) tumekuwa tukisema umu kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja
Bunge la marekani na Wapinzani wa Trump mara kadhaa wamesikika wakilaumu kuwa Mamlaka ya Elon yanavuka Mipaka
Trump was somehow kimya kwa vile elon pia alihusika na Kampeni zake pakubwa sana haswa mitandaoni kumpigia Chapuo trump
it's just a matter of time, Elon ana exit Serikali ya trump Siku izi za Mwisho May
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi, wengi tulikuwa hatujui & unfortunately tusioelewa mambo vizuri ndo huwa tuko mbele kuleta taarifa na bla bla kibaoHaina shida. Muda wake umeisha.
Licha ya hilo, yawezekana pia kukawa kuna tofauti za kimtazamo baina ya Trump na Musk.
Lakini hili la kuondoka DOGE, ni muda wake umeisha.
NBC News has reported that special government employees, a class of temporary worker that included Musk, can typically work up to 130 days in a calendar year, though the days can be split up. The White House first publicly acknowledged Musk’s role on Feb. 3, so he was most likely nearing the end of that tenure.