Elon Musk na D Trump tayari wamemwagana

Elon Musk na D Trump tayari wamemwagana

Wakuu Elon Musk alikuwa Special employee wa Serikali ya Marekani ku lead Department of Efficiency(DOGE) tumekuwa tukisema umu kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja

Bunge la marekani na Wapinzani wa Trump mara kadhaa wamesikika wakilaumu kuwa Mamlaka ya Elon yanavuka Mipaka

Trump was somehow kimya kwa vile elon pia alihusika na Kampeni zake pakubwa sana haswa mitandaoni kumpigia Chapuo trump

it's just a matter of time, Elon ana exit Serikali ya trump Siku izi za Mwisho May
Trump, ameshammaliza Elon for good
 
Attachments

  • instagram_20250608_092303.mp4
    2 MB
Toa habari kwa ukamilifu na si kwa kupotosha wala kupendelea.

Elon Musk alikuwa ni Special Government Employee.

Hiyo ni nafasi ya muda mfupi tu. Siyo nafasi ya kudumu.

Special Government employees hawatakiwi, kwa mujibu wa sheria, kuhudumu kwa zaidi ya siku 130 katika siku 365 za mwaka.

Piga hesabu tokea Elon awe special government employee mpaka leo, ni siku ngapi zimepita.

Muda wake umemalizika. Hiyo haikuwa nafasi ya kudumu.

Hivyo kudai kuwa kuondoka kwake kunatokana na kufarakana kwake na Trump, si sahihi.

Soma zaidi hapa chini kuhusu Special Government Employee:

What is a "special government employee"?​

“In 1962, Congress created the role of "special government employee," which allows the executive branch, the legislative branch and independent federal agencies to bring on employees for specific roles on a temporary basis.

Typically, SGEs are hired as experts or consultants or serve as members of federal advisory committees, of which there are roughly 1,000across the U.S. government.

SGEs are limited to working for the government for no more than 130 days out of a 365-day period, though they can work multiple years, and they can either be paid or unpaid. NPR has reported that Musk is not being paid for his work with DOGE.”

Wamefarakana Mzee
 
Hii ni AI Generated mkuu
siyo AI. hiyo habari ina trend huko CNN, CBS NEWS, SkyNews, bila GOV SUBSIDY na CONTRACTS tesla na spaceX zinakufa kifo cha mende. KWA SABABU SpaceX ina surve kwa kufanya kazi za ukandarasi kwa NASA

"Musk harshly called the House-passed legislative package of Trump’s top priorities a "disgusting abomination" and urged lawmakers to kill it, as the Senate debates the measure.
In response, Trump has already threatened to cancel Musk’s government subsidies for electric carmaker Tesla and contracts for rocket company SpaceX"
 
Back
Top Bottom