Elon Musk na Falsafa ya hapa Kazi tu

Sababu ya kuitwa ^lucky^ pengine ni kwa vile anatumia muda mwingi sanaaaaa kuliko kawaida wakati kuna watu Bongo anapokea mishahara ya watumishi senior 17 na wala hata hashindi ofisini zaidi ya 3 to 4 hours. Aliyesema ^Mtanikumbuka kwa mema^ aliona mbali sana.
 
Acha kufananisha Musk na washamba wewe
 
Uwe na akili sasa fanya kazi halafu kichwani empty mbona kitaumana..😂
 
Vibarua bongo wanafanya kazi masaa 14 7days a week.
Na bado wanakula buku 4 kwa siku

Elon, you are lucky bro
 
Kufanya Kazi masaa mengi sio kipato.
Ingekuwa hivyo walinzi na makondakta wangekuwa bilionea.
 
Mimi nalima masaa 8 nafanya biashara masaa 6 kazi zingine masaa 4 hivyo jumla masaa 18 na kusema hivyo nimemupiku Elon harafu bado nakosa hata hela ya bando.
Elon una bahati sana najua upo humu na unanisikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…