Elon Musk: Nampenda TRUMP Kama MWANAUME anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake

Elon Musk: Nampenda TRUMP Kama MWANAUME anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Siku ya Jana kupitia mtandao wake WA kijamii, maarufu Kama X , Bilionea Elon Musk ameandika kua Anampenda Raisi Donald Trump Kama vile mwanaume anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake.

Screenshot_20250208-163942.png

Aisee,
imekaaje hii wakuu au mi ndo sijaelewa🤔
 
Upendo ndiyo amri kuu kuliko zote.Na ya pili kibiblia yafanana na hii;Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.
Love is the single most powerful weapon in my arsenal!!!

Ni sahihi kama alivyosema Elon Musk.

Shida ni kwamba wengi huwa hawaelewi maana ya neno "Upendo"(Love) hasa wasanii wa bongo huwa wanalipotosha sana hili neno "Upendo".
 
Siku ya Jana kupitia mtandao wake WA kijamii, maarufu Kama X , Bilionea Elon Musk ameandika kua Anampenda Raisi Donald Trump Kama vile mwanaume anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake.

Aisee,
imekaaje hii wakuu au mi ndo sijaelewa🤔
"Straight man" ameandika hivyo, ukizingatia maana ya maneno hayo mawili hakuta tatizo. Pasingekua hiyo straight ndio hapo tungesema labda kwa nini atumie love na sio like
 
hata maandiko ndivyo yanasema(sikumbuki kifungu)

deepond
mkuu,au umechukulia kama upendo uliokuwa nao wewe kwa fundicherehani kule chamanzi... Unatoka msibani unavizia dirishani unasikia mtu analia kwa kulilia kijinga alichoruhusu kipekeche gozi lake
 
Huo ujumbe Trump akiutafsiri vibaya Eloni hana kazi, kwasababu Trump na mambo ya usengerema hawaendani kabisa
Wewe umeelewa maana ya straight man?
Jifunze hapa:
1. Heterosexual (Straight) – Attraction to people of the opposite gender.
2. Homosexual (Gay/Lesbian) – Attraction to people of the same gender (gay for men, lesbian for women).
3. Bisexual – Attraction to both men and women.
4. Pansexual – Attraction to people regardless of their gender identity.
5. Asexual – Little or no sexual attraction to others, though romantic attraction may still be present.
6. Demisexual – Sexual attraction only after forming a strong emotional bond.
7. Queer – A broad term used by some individuals who do not fit into traditional categories or who rejec
t specific labels.
 
Siku ya Jana kupitia mtandao wake WA kijamii, maarufu Kama X , Bilionea Elon Musk ameandika kua Anampenda Raisi Donald Trump Kama vile mwanaume anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake.

View attachment 3229187

Aisee,
imekaaje hii wakuu au mi ndo sijaelewa🤔
Na angesema anampenda Donald Trump kama Gay anavyompenda Mwanaume? Hapo si ndio ungeshangaa mwaka mzima

Sijaona kosa la Elon
 
Ha ha ha....fala sana wewe
hata maandiko ndivyo yanasema(sikumbuki kifungu)

deepond
mkuu,au umechukulia kama upendo uliokuwa nao wewe kwa fundicherehani kule chamanzi... Unatoka msibani unavizia dirishani unasikia mtu analia kwa kulilia kijinga alichoruhusu kipekeche gozi lake
 
Watu wanawaza usenene tu akati jamaa amemaanisha vizuri tu.
 
Siku ya Jana kupitia mtandao wake WA kijamii, maarufu Kama X , Bilionea Elon Musk ameandika kua Anampenda Raisi Donald Trump Kama vile mwanaume anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake.

View attachment 3229187

Aisee,
imekaaje hii wakuu au mi ndo sijaelewa🤔
UPENDO ni Amri ya Bwana, Yesu alisema pendaneni.
 
Back
Top Bottom