Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Jamaa kaanza kuajiri wahuni wa mitaani kwenye kazi ya kupekua taarifa nyeti za serikali na walipa kodi wa AMERICA! 🤣
Miongoni mwa wahuni alioajiri Musk kwenye kitengo chake cha kudhibiti utendaji swafi wa serikali, aka DOGE, ni 'hacker' mmoja mwenye umri wa miaka 19, kwa jina Edward Coristine anayetambulika zaidi kwa jina lake la kihuni mitandaoni la 'BIG BALLS'!
Wakubwa hawajafurahishwa kabisa, hasa FBI, PENTAGON na CIA, kupekuliwa taarifa zao na wahuni wa mitaani akina 'BIG BALLS' na wenzie wengi! 🤣
USA KUMOTO!
View: https://youtu.be/R1w6k5yitUU
View: https://youtu.be/sRtyM24MPls
