Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Na Zeleboy sasa ana hali gani?Putin atakuwa anchekea chooni,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Zeleboy sasa ana hali gani?Putin atakuwa anchekea chooni,
Makamu wao wa Rais kasema arudishwe na Trump kaunga mkono arudishwe!Huyo jamaa ashapigwa chini kwa sababu ya tweet yake aliyoandika kuwa I was a racist before I became cool.
Kapigwa chini tayari.
Musk sina hakika kama hii dodge itadumu kwa sababu kwanza wenzake wanadai anaenda kupitia tendor za serikali ambazo hata yeye makampuni yake pia yana mikataba ya 16 bilioni dollars na serikali.
Hivyo wanasema kuna conflict of interest kwa sababu yeye ndiye anachagua ni tendor ipi ibaki au isibaki wakati na yeye ni mnufaika wa tenda hizo.
Pia idadi ya mauzo ya Tesla yanashuka Marekani na Ulaya kwa sababu nchi za Ulaya wanadai Musk ameanza kuingilia siasa zao.
Ila mimi namwona jamaa ni opportunist na sidhani kama ushikaji wao na Trump utadumu kwa zaidi ya miaka 3 kwa sababu Musk kama kitu hafaidiki nacho lazima akikandie ndiyo maana hata week chache nyuma alikuwa kama anakandia uwekezaji wa $500 bilioni wa data center kwa ajili ya AI kwa sababu yeye binafsi anamchukua Sam Altman na Sam Altman ni part of that deal.
Hali ni mbaya sana, Trump ana mpango wa kumuunga mkono Putin aimege baadhi ya mikoa ya Ukraine ndio vita iishe.Sasa kama ndivyo hali ikoje kwa Zeleboy?
Trump mwenyewe ni racist, hawezi kumuwajibisha mtu kwa sababu hiyo, zaidi zaidi anaweza kumpongeza.Makamu wao wa Rais kasema arudishwe na Trump kaunga mkono arudishwe!
Hadi miaka minne iishe, Trump atakuwa ameharibu pakubwa.Marekani kumekuwa na ujinga mwingi sana
Hivi wale vijana wa ZELE walioingiaga Russia wakasema wameteka mji na wataishi hapo wanaendeleaje kwa sasa,wamesonga mbele zaidi kuitafuta Moscow?Hali ni mbaya sana, Trump ana mpango wa kumuunga mkono Putin aimege baadhi ya mikoa ya Ukraine ndio vita iishe.
Wewe.ni.muongo Sana🤣🤣🤣🤣Jamaa ni opportunist sana. Anataka South AFrika wabadilishe sheria zao kwa ajira ya starlink yani just kwa ajili ya kampuni yake. Anataka India nao wabadilishe sheria zao kwa ajili ya Tesla na Starlink.
Yani yeye ni kama anajiona ni mtu wa kipekee anayetakiwa kupewa priority kuliko wengine. Urafiki wake na Trump hautadumu maana jamaa hawezi kujishikilia kama hafaidiki na jambo.
Ila tukiachana na Musk na hira zake, ila USAID ule ufadhili wao ulikuwa kuboko. Mambo mengine yanashangaza japo watu wanajiuliza, USAID ni 0.6% ya budget ambapo ni 40 bilioni dollars wakati Medicaid ambayo ni zaidi ya 2 tillioni dollars ambapo wanasema kuna upigaji wa kufa mtu mbona hajaenda huko?
Sasa hivi kila ukiamka kuna habari mpya kuhusu Marekani.
Mauzo ya Tesla yanashuka kwa kasi ila bei za hisa zinaongezeka nadhani investor bado wanaamini katika Tesla kisa Musk yuko connected na serikali maana kipindi yuko busy na kampuni yake ya kurusha rocket bei ya hisa zilishuka kwa wawekezaji kudai kuwa Musk yuko busy na kampuni nyingine sasa sijui kwanini kuwa busy na doge hakuwatishi.
Hata wakiwa siriazi kama hawajajiunga UVCCM au kutengeneza content kama Mwijaku na Babalevo hakuna mtu atakayekuwa na muda naoMbele mbele tu, 19 yo Serikali inakujua vizuri kuwa una hatari kubwa.... Nyie Haka wa Bongo muwe siriaz.
Jamaa kaanza kuajiri wahuni wa mitaani kwenye kazi ya kupekua taarifa nyeti za serikali na walipa kodi wa AMERICA! 🤣
Miongoni mwa wahuni alioajiri Musk kwenye kitengo chake cha kudhibiti utendaji swafi wa serikali, aka DOGE, ni 'hacker' mmoja mwenye umri wa miaka 19, kwa jina Edward Coristine anayetambulika zaidi kwa jina lake la kihuni mitandaoni la 'BIG BALLS'!
Wakubwa hawajafurahishwa kabisa, hasa FBI, PENTAGON na CIA, kupekuliwa taarifa zao na wahuni wa mitaani akina 'BIG BALLS' na wenzie wengi! 🤣
USA KUMOTO!
View: https://youtu.be/R1w6k5yitUU
View: https://youtu.be/sRtyM24MPls
Kweli boss Trump, na Elon wanajifanya pachangamke big time, hahahaha kmmk uchiteme, uchimung'unye Walah ahahaha...kaweka mamamba waone wizi....DUNIA IMEANZA LONG-TIME KUMEPAMBAZUKA LEOO...🤣🤣🤣 dunia inachangamka sasa
Fox society version ya Ngapi hii ?Wanasema hii ndio timu ya DOGE View attachment 3228754
Hapo dogo mmoja mahesabu ya TANESCO, NHIF, TANAPA, TRA, TAMISEMI na EWURA mpe masaa 4 Tu anakupa mapato na matumizi Yao kwa miaka 3 na chenji waliyonayoWanasema hii ndio timu ya DOGE View attachment 3228754
sema ni kitu gani nimedanganyaWewe.ni.muongo Sana🤣🤣🤣🤣
Akikaribia kumaliza urais atajipa msamaha wa jumla wa rais pamoja na watu wake wakina Elon.Hadi miaka minne iishe, Trump atakuwa ameharibu pakubwa.
Wakija kuongoza Democrats wanaweza kumshtaki.
Kumbe? Hii sijakutana nayo maana ya kusimamishwa nimekutana nayo asubuhi asubuhi.Makamu wao wa Rais kasema arudishwe na Trump kaunga mkono arudishwe!