Elon Musk ni kichomi

Elon Musk ni kichomi

Huyo jamaa ashapigwa chini kwa sababu ya tweet yake aliyoandika kuwa I was a racist before I became cool.
Kapigwa chini tayari.
Musk sina hakika kama hii dodge itadumu kwa sababu kwanza wenzake wanadai anaenda kupitia tendor za serikali ambazo hata yeye makampuni yake pia yana mikataba ya 16 bilioni dollars na serikali.
Hivyo wanasema kuna conflict of interest kwa sababu yeye ndiye anachagua ni tendor ipi ibaki au isibaki wakati na yeye ni mnufaika wa tenda hizo.
Pia idadi ya mauzo ya Tesla yanashuka Marekani na Ulaya kwa sababu nchi za Ulaya wanadai Musk ameanza kuingilia siasa zao.
Ila mimi namwona jamaa ni opportunist na sidhani kama ushikaji wao na Trump utadumu kwa zaidi ya miaka 3 kwa sababu Musk kama kitu hafaidiki nacho lazima akikandie ndiyo maana hata week chache nyuma alikuwa kama anakandia uwekezaji wa $500 bilioni wa data center kwa ajili ya AI kwa sababu yeye binafsi anamchukua Sam Altman na Sam Altman ni part of that deal.
Makamu wao wa Rais kasema arudishwe na Trump kaunga mkono arudishwe!
 
Musk kaweka Kura ya maoni kuona kama "Big Balls" apewe second chance, 98% ya Kura zaidi ya milioni 3 wamesema asamehewe,

Kupitia mafaili ya malipo ya Pentagon lazima Big Ball awepo maana uozo wa USAID ulikuwa cha mtoto!

Marekani hakupoi jamani!

 
Wanasema hii ndio timu ya DOGE
1000021887.jpg
 
Jamaa ni opportunist sana. Anataka South AFrika wabadilishe sheria zao kwa ajira ya starlink yani just kwa ajili ya kampuni yake. Anataka India nao wabadilishe sheria zao kwa ajili ya Tesla na Starlink.
Yani yeye ni kama anajiona ni mtu wa kipekee anayetakiwa kupewa priority kuliko wengine. Urafiki wake na Trump hautadumu maana jamaa hawezi kujishikilia kama hafaidiki na jambo.
Ila tukiachana na Musk na hira zake, ila USAID ule ufadhili wao ulikuwa kuboko. Mambo mengine yanashangaza japo watu wanajiuliza, USAID ni 0.6% ya budget ambapo ni 40 bilioni dollars wakati Medicaid ambayo ni zaidi ya 2 tillioni dollars ambapo wanasema kuna upigaji wa kufa mtu mbona hajaenda huko?
Sasa hivi kila ukiamka kuna habari mpya kuhusu Marekani.
Mauzo ya Tesla yanashuka kwa kasi ila bei za hisa zinaongezeka nadhani investor bado wanaamini katika Tesla kisa Musk yuko connected na serikali maana kipindi yuko busy na kampuni yake ya kurusha rocket bei ya hisa zilishuka kwa wawekezaji kudai kuwa Musk yuko busy na kampuni nyingine sasa sijui kwanini kuwa busy na doge hakuwatishi.
Wewe.ni.muongo Sana🤣🤣🤣🤣
 
Marekani inaendeshwa kihuni hivi sasa
Jamaa kaanza kuajiri wahuni wa mitaani kwenye kazi ya kupekua taarifa nyeti za serikali na walipa kodi wa AMERICA! 🤣

Miongoni mwa wahuni alioajiri Musk kwenye kitengo chake cha kudhibiti utendaji swafi wa serikali, aka DOGE, ni 'hacker' mmoja mwenye umri wa miaka 19, kwa jina Edward Coristine anayetambulika zaidi kwa jina lake la kihuni mitandaoni la 'BIG BALLS'!

Wakubwa hawajafurahishwa kabisa, hasa FBI, PENTAGON na CIA, kupekuliwa taarifa zao na wahuni wa mitaani akina 'BIG BALLS' na wenzie wengi! 🤣

USA KUMOTO!

View: https://youtu.be/R1w6k5yitUU

View: https://youtu.be/sRtyM24MPls
 
Back
Top Bottom