Elon Musk ni kichomi

Mkuu hiki kitu kinashangaza, unadhani kwanini wamekomaa na issue ndogo ndogo kama USAID alafu issue kubwa za maana wametulia?
 
Mkuu hiki kitu kinashangaza, unadhani kwanini wamekomaa na issue ndogo ndogo kama USAID alafu issue kubwa za maana wametulia?
Lengo ni kuwapaka Democrats na kuwafanya waonekane wezi na hawafai, na taasisi nyonge na inayoweza kuchafuliwa na hata kufutwa isiidhuru Marekani ni hiyo!
 
Wapiga spana hao🔧🪛🔧🪛🗡⚔️🛠⚒️mamaeeh DJT atawasumbua sana hii miaka minne watajutraa
 
Right
 
Mkuu hiki kitu kinashangaza, unadhani kwanini wamekomaa na issue ndogo ndogo kama USAID alafu issue kubwa za maana wametulia?
Elon na Trump wahuni tu, USAID ni 0.7% ya bajeti ya US lakini ndio wameifanya ajenda yao kuu kwa sababu wanajua dunia imejaa wajinga wanaoendeshwa kwa hisia na mihemko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…