Elon Musk ni kichomi

Elon Musk ni kichomi

Jamaa ni opportunist sana. Anataka South AFrika wabadilishe sheria zao kwa ajira ya starlink yani just kwa ajili ya kampuni yake. Anataka India nao wabadilishe sheria zao kwa ajili ya Tesla na Starlink.
Yani yeye ni kama anajiona ni mtu wa kipekee anayetakiwa kupewa priority kuliko wengine. Urafiki wake na Trump hautadumu maana jamaa hawezi kujishikilia kama hafaidiki na jambo.
Ila tukiachana na Musk na hira zake, ila USAID ule ufadhili wao ulikuwa kuboko. Mambo mengine yanashangaza japo watu wanajiuliza, USAID ni 0.6% ya budget ambapo ni 40 bilioni dollars wakati Medicaid ambayo ni zaidi ya 2 tillioni dollars ambapo wanasema kuna upigaji wa kufa mtu mbona hajaenda huko?
Sasa hivi kila ukiamka kuna habari mpya kuhusu Marekani.
Mauzo ya Tesla yanashuka kwa kasi ila bei za hisa zinaongezeka nadhani investor bado wanaamini katika Tesla kisa Musk yuko connected na serikali maana kipindi yuko busy na kampuni yake ya kurusha rocket bei ya hisa zilishuka kwa wawekezaji kudai kuwa Musk yuko busy na kampuni nyingine sasa sijui kwanini kuwa busy na doge hakuwatishi.
Mkuu hiki kitu kinashangaza, unadhani kwanini wamekomaa na issue ndogo ndogo kama USAID alafu issue kubwa za maana wametulia?
 
Mkuu hiki kitu kinashangaza, unadhani kwanini wamekomaa na issue ndogo ndogo kama USAID alafu issue kubwa za maana wametulia?
Lengo ni kuwapaka Democrats na kuwafanya waonekane wezi na hawafai, na taasisi nyonge na inayoweza kuchafuliwa na hata kufutwa isiidhuru Marekani ni hiyo!
 
Wapiga spana hao🔧🪛🔧🪛🗡⚔️🛠⚒️mamaeeh DJT atawasumbua sana hii miaka minne watajutraa
 
Huyo jamaa ashapigwa chini kwa sababu ya tweet yake aliyoandika kuwa I was a racist before I became cool.
Kapigwa chini tayari.
Musk sina hakika kama hii dodge itadumu kwa sababu kwanza wenzake wanadai anaenda kupitia tendor za serikali ambazo hata yeye makampuni yake pia yana mikataba ya 16 bilioni dollars na serikali.
Hivyo wanasema kuna conflict of interest kwa sababu yeye ndiye anachagua ni tendor ipi ibaki au isibaki wakati na yeye ni mnufaika wa tenda hizo.
Pia idadi ya mauzo ya Tesla yanashuka Marekani na Ulaya kwa sababu nchi za Ulaya wanadai Musk ameanza kuingilia siasa zao.
Ila mimi namwona jamaa ni opportunist na sidhani kama ushikaji wao na Trump utadumu kwa zaidi ya miaka 3 kwa sababu Musk kama kitu hafaidiki nacho lazima akikandie ndiyo maana hata week chache nyuma alikuwa kama anakandia uwekezaji wa $500 bilioni wa data center kwa ajili ya AI kwa sababu yeye binafsi anamchukua Sam Altman na Sam Altman ni part of that deal.
Right
 
Mkuu hiki kitu kinashangaza, unadhani kwanini wamekomaa na issue ndogo ndogo kama USAID alafu issue kubwa za maana wametulia?
Elon na Trump wahuni tu, USAID ni 0.7% ya bajeti ya US lakini ndio wameifanya ajenda yao kuu kwa sababu wanajua dunia imejaa wajinga wanaoendeshwa kwa hisia na mihemko.
 
Back
Top Bottom