Elon Musk ni kichomi

Elon Musk ni kichomi

... Haya wanayofanya hayawezi kuzaa mapinduzi ya kuleta COMMUNISM?
JARIBU KUVUTA PICHA!
Ukomunisti na ujamaa ni mifumo ambayo huwa inapinga Ubepari. Lakini mimi huwa naona ukomunisti na ujamaa ni mifumo dhaifu. Ubepari ni mfumo imara sana.

Capitalism(Ubepari) works better than it sound; while communism sounds better than it works

Marekani ililelewa katika misingi ya Ubepari na ubepari ni mfumo imara sana. Wakijichanganya wakaleta ukomunisti,that will be the fall of their state.

Mfumo mzima wa haki unakiwa kumpendelea yule anaye tenda. Na kwa ukweli ukichunguza serikali zote duniani, Africa na wazungu, serikali huwa haitendi bali huwa ina wawekea mazingira mazuri wananchi wake watende. Kodi ni matokeo ya matendo ya wananchi, wananchi huwa wanatenda kuzalisha hizo pesa na siyo serikali. Na watu wa serikalini wanatakiwa kujua kwamba kodi sio pesa zao ni jasho la wengine ambao ni wananchi. Sasa ili mtu kuwa mtendaji mzuri na kufanikiwa katika kile anachokifanya anatakiwa kuwa bepari. Ubepari ni sifa inayomfanya mtu kutenda jambo na likafanikiwa.

Mimi mstari wa Biblia ambao naona huwa unaufafanua barbara,una unauelezea vizuri sana mfumo wa Ubepari ni Mithali 31:16-18

Mithali 31:16-18 = Huangalia shamba,akalinunua;kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu. Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi,huitia mikono yake nguvu.Huona kama bidhaa yake ina faida,taa yake haizimiki usiku.

Kwa hiyo , naona marekani hawawezi kufanya mapinduzi ya kuleta communism. Communism ni anguko la Marekani.
 
Pesa wanadai zinapigwa na wamarekani wenyewe kwa miradi ambayo haina tija na mingine fake.
Ndiyo maana kama umefuatilia vyombo vya habari wanashangaa miradi iliyokuwa sponsored na USAID mfano dola milion 50 kwenda kununua condom gaza, dola milioni 200 kusaidia kilimu afghanistan sasa wanasema walikuwa wanasaidia kilimo cha zao linalotengeneza cocaine au maana ndicho kilimo kikubwa huko.
Huko Afghanistan si ndio kipindi cha Obummer USAID walifadhiri mradi wa kuboresha miundo mbinu iliyokuwa imeharibika halafu ikaja kubainika kuwa kuna $400m zililipwa kwa ghost workers zaidi ya 2000???

Aisee hilo shirika lilikuwa ni kihalifu na kuwaibia kodi zao wamarekani
 
View attachment 3228914

Jamaa kaanza kuajiri wahuni wa mitaani kwenye kazi ya kupekua taarifa nyeti za serikali na walipa kodi wa AMERICA! 🤣

Miongoni mwa wahuni alioajiri Musk kwenye kitengo chake cha kudhibiti utendaji swafi wa serikali, aka DOGE, ni 'hacker' mmoja mwenye umri wa miaka 19, kwa jina Edward Coristine anayetambulika zaidi kwa jina lake la kihuni mitandaoni la 'BIG BALLS'!

Wakubwa hawajafurahishwa kabisa, hasa FBI, PENTAGON na CIA, kupekuliwa taarifa zao na wahuni wa mitaani akina 'BIG BALLS' na wenzie wengi! 🤣

USA KUMOTO!

View: https://youtu.be/R1w6k5yitUU

View: https://youtu.be/sRtyM24MPls

Kwa hiyo mtu kujiita "Big balls" hiyo inamfanya moja kwa moja kuwa muhuni sio?

Anyway Elon ni aina ya maboss ambao wanaangalia zaidi uwezo/ufanisi wako wa task anayokupa, na sio how decent/indecent you are... after all nyie mnaojifanyaga mko decent eti sio wahuni ndio huwa wezi na wabadhirifu wakubwa kwenye ofisi za umma au binafsi na utendaji wenu huwa uko shallow mno tunawajua... Nakumbuka mimi shuleni nilikuwaga sichomekei shati kabisa hata kufua nilikuwa nafua mara moja kwa wiki, mpaka kuna walimu baadhi walikuwa wananichukia akiwemo mwalimu mkuu maana nilikuwa nimekaa kihuni mno, ila kwenye taaluma nilikuwaga nawaburuza vibaya mno wale wanafunzi wote waliokuwa wanasifika kwa usafi na utanashati, mpaka nafanya mitihani wa mwisho sikuwa kutoka ndani ya 3 bora, nimechukua sana zawadi sababu ya ufaulu wangu mzuri na nimepigiwa sana makofi na hao watanashati waliokuwa sio wahuni.

Big balls amesoma Electrical engineering and Computer Science kutoka chuo kikuu cha Southern california na pia amewahi kufanya internship kwenye kampuni ya twitter kama software architect.

Kilichomfanya mpaka Elon Musk akam include yeye pamoja na madogo wenzake wengine kwenye timu yake ya DOGE ni uwezo mkubwa alionao wa kuichezea mifumo... Na right kama hao unaowaita wahuni wangekuwa ni watu hatarishi Congress wasingeruhusu hata waisogelee Treasury Department.

BTW, wamarekani wengi sana hasa wale nationalists wanafurahishwa na kile kinachofanywa na Elon na Timu yake, ni maliberals tu pamoja na nyie wamatumbi wa bara la giza ndio mnachukizwa na DOGE na utawala wa Trump kwa ujumla.
 
... kwa ujinga wa Musk, hata mafanikio aliyopata kwa muda mfupi ndani ya USA ni ya kutilia mashaka! ... ndo maana, kama ulivyodokeza awal, kitengo alichopewa hakikumsahili kabisa maana yu miongoni mwa watu wanaotakiwa wamulikwe!
:AweeWoo: :AweeWoo: :AweeWoo:
Wayatilie shaka kivipi mafanikio ya Musk na wakati kila hatua aliyopita mpaka kufika hapo alipo kila mtu amemuona?

Ni sawa sawa na wewe Leo hii hapa bongo useme eti kwa mafanikio makubwa aliyonayo Diamond Platinumuz kupitia mziki wetu hapa nchini, itabidi atailiwe shaka na anatakiwa amulikwe... na unasema hivyo wakati kila mtu amemuona Diamond kwa hatua zote alizopita tangu anaanza Muziki mpaka hapo alipo.. lazima tu utaonekana mwehu.
 
Kwa hiyo mtu kujiita "Big balls" hiyo inamfanya moja kwa moja kuwa muhuni sio?

Anyway Elon ni aina ya maboss ambao wanaangalia zaidi uwezo/ufanisi wako wa task anayokupa, na sio how decent/indecent you are... after all nyie mnaojifanyaga mko decent eti sio wahuni ndio huwa wezi na wabadhirifu wakubwa kwenye ofisi za umma au binafsi na utendaji wenu huwa uko shallow mno tunawajua... Nakumbuka mimi shuleni nilikuwaga sichomekei shati kabisa hata kufua nilikuwa nafua mara moja kwa wiki, mpaka kuna walimu baadhi walikuwa wananichukia akiwemo mwalimu mkuu maana nilikuwa nimekaa kihuni mno, ila kwenye taaluma nilikuwaga nawaburuza vibaya mno wale wanafunzi wote waliokuwa wanasifika kwa usafi na utanashati, mpaka nafanya mitihani wa mwisho sikuwa kutoka ndani ya 3 bora, nimechukua sana zawadi sababu ya ufaulu wangu mzuri na nimepigiwa sana makofi na hao watanashati waliokuwa sio wahuni.

Big balls amesoma Electrical engineering and Computer Science kutoka chuo kikuu cha Southern california na pia amewahi kufanya internship kwenye kampuni ya twitter kama software architect.

Kilichomfanya mpaka Elon Musk akam include yeye pamoja na madogo wenzake wengine kwenye timu yake ya DOGE ni uwezo mkubwa alionao wa kuichezea mifumo... Na right kama hao unaowaita wahuni wangekuwa ni watu hatarishi Congress wasingeruhusu hata waisogelee Treasury Department.

BTW, wamarekani wengi sana hasa wale nationalists wanafurahishwa na kile kinachofanywa na Elon na Timu yake, ni maliberals tu pamoja na nyie wamatumbi wa bara la giza ndio mnachukizwa na DOGE na utawala wa Trump kwa ujumla.
Asante kwa taarifa, lakini wadau serikalini huwa wanapenda kukaguliwa na watu walioiva kimaadali! Huyo Big balls (aka BB) ana sifa ya kuvujisha data za waajiri wake, pamoja na kuonekana na umri mdogo. ... na miongoni mwa wahuni hao kuna 'racist' aliyekubuhu wa mitandaoni, ... kwa ujumla wadau wameilalamikia hii timu!
NB: I LIKE THEM ALREADY! 🤣
 
Wayatilie shaka kivipi mafanikio ya Musk na wakati kila hatua aliyopita mpaka kufika hapo alipo kila mtu amemuona?

Ni sawa sawa na wewe Leo hii hapa bongo useme eti kwa mafanikio makubwa aliyonayo Diamond Platinumuz kupitia mziki wetu hapa nchini, itabidi atailiwe shaka na anatakiwa amulikwe... na unasema hivyo wakati kila mtu amemuona Diamond kwa hatua zote alizopita tangu anaanza Muziki mpaka hapo alipo.. lazima tu utaonekana mwehu.
... Yaani ukimuona kobe juu ya mti chunguza nani kampandisha! Musk ni kilaza mno!
 
Ukomunisti na ujamaa ni mifumo ambayo huwa inapinga Ubepari. Lakini mimi huwa naona ukomunisti na ujamaa ni mifumo dhaifu. Ubepari ni mfumo imara sana.

Capitalism(Ubepari) works better than it sound; while communism sounds better than it works

Marekani ililelewa katika misingi ya Ubepari na ubepari ni mfumo imara sana. Wakijichanganya wakaleta ukomunisti,that will be the fall of their state.

Mfumo mzima wa haki unakiwa kumpendelea yule anaye tenda. Na kwa ukweli ukichunguza serikali zote duniani, Africa na wazungu, serikali huwa haitendi bali huwa ina wawekea mazingira mazuri wananchi wake watende. Kodi ni matokeo ya matendo ya wananchi, wananchi huwa wanatenda kuzalisha hizo pesa na siyo serikali. Na watu wa serikalini wanatakiwa kujua kwamba kodi sio pesa zao ni jasho la wengine ambao ni wananchi. Sasa ili mtu kuwa mtendaji mzuri na kufanikiwa katika kile anachokifanya anatakiwa kuwa bepari. Ubepari ni sifa inayomfanya mtu kutenda jambo na likafanikiwa.

Mimi mstari wa Biblia ambao naona huwa unaufafanua barbara,una unauelezea vizuri sana mfumo wa Ubepari ni Mithali 31:16-18

Mithali 31:16-18 = Huangalia shamba,akalinunua;kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu. Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi,huitia mikono yake nguvu.Huona kama bidhaa yake ina faida,taa yake haizimiki usiku.

Kwa hiyo , naona marekani hawawezi kufanya mapinduzi ya kuleta communism. Communism ni anguko la Marekani.
Corruption na ubepari uliokubuhu unaofanya asilimia ndogo sana ya watu, kama Elon Musk, wamiliki cha walio wengi kwa ujanja ujanja huweza kuzaa dhiki kwa wengi na kuleta mlipuko wa mapinduzi! Milipuko hii, wakati mwingine huanzishwa na mpambano wa 'ELITES', waliojisahau, katika vita vyao vya kimaslahi!
 
1740321651512.png
 
Back
Top Bottom