barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mwanaume haachiki, kaacha mara mbili regardless nani alianzisha mchakato wa kuachana... haya mengine ni ya kufosi tu mambo ya usawa...Ameoa mara mbili na kuachika, na pia ana watoto 10 kwa wake wawili tofauti
Matajiri wengi wanakumbwa na janga hili la talaka, hii ni kutokana na tamaa wanazoingia wake zao juu ya utajiri wa wenzi wao.Mwanaume haachiki, kaacha mara mbili regardless nani alianzisha mchakato wa kuachana... haya mengine ni ya kufosi tu mambo ya usawa...
Umenena vyema sanaaaKwa hela hizo unahitaji mke wa nini? Una hela upangiwe utakula nini? Una hela ununiwe siku tatu? Una hela unyimwe unyumba? Una hela usipate mwanya wa kuongea na MTU yoyote wa jinsia ya kike hata Kama Ni dada yako?
Una hela upangiwe nguo za kuvaa?
Usituone sisi tusio na hela tumenyamaza, ukweli ni kwamba TUNAPITIA
YeahEti anatumia bange??
Leta maana yake sasa.Hizi ndo athari za kucomment kabla ya kuswaki asubuh asubuhi!!
Unajua maana ya self made na kinyume cha self made!!??
Sasa unaniuliza mim tena!!!??Leta maana yake sasa.
Usijibu kwa hasira za kukosa chai kwa shemeji.
Kulingana na comment Yako Mimi sijui maana ya self-made.Sasa unaniuliza mim tena!!!??
Endelea kuamini hivyo unavyoamini
Ukitaka kumvutia kijana wa kitanzania anzisha mijadala yaHabari JF
Huyu ni mtu na nusu, Yeah! Unaweza kusema hivyo. Elon Reeve Musk mapema wiki hii ameteka vichwa vya habari duniani baada ya kununua mtandao pendwa duniani( Twitter ) kwa dau la $44B, sawa na Trilioni 102.6 kwa pesa za kibongo.
Bilionea huyo namba moja duniani kutokana na takwimu za Forbes na Bloomberg, anakadiriwa kuwa na utajiri (net worth) wa $244B. Hii ina maana dili hilo la ununuzi wa Twitter limekunja takribani asilimia 18 ya utajiri wa Musk.
Elon hana shida na wala hafikirii jambo lolote baya kwenye ununuzi wake wa mtandao huo, kwani alishawahi sema kwenye moja ya kurasa zake za Twitter kuwa kumiliki mtandao huo ni moja kati ya ndoto zake, hivyo anaonekana yuko tayari kuingia costs zozote ili kuiishi ndoto yake.
Elon ni nani?
Kwa kifupi Elon Musk ni raia wa nchi tatu (Marekani, Canada na South Africa). Ameoa mara mbili na kuachika na ni baba wa watoto kumi pia. Ni mmiliki wa makampuni mbalimbali kama Tesla, PayPal, Space X nk.
Kwenye ukuaji wake Elon alipitia vipindi mbalimbali vigumu ikiwemo wazazi wake kutalikiana na hali ngumu ya kimaisha iliyokuwa ikiwakumba. Alianza ujasiriamali katika umri mdogo akishirikiana na kaka yake kwa kuuza bidhaa mbalimbali na kupitisha majumbani.
Alizaliwa South Africa kabla ya baadae kuhamia Canada kwa masomo ya chuo. Licha ya pia kufeli kuendelea na masomo hayo ya chuoni (discontinued). Baada ya kuwa drop out chuoni Elon aliamua kujikita zaidi kwenye biashara huku akipewa ushirikiano mkubwa na mkewe, na kwa shida na tabu Elon Musk alipambania kampuni zake zote mpaka kufikia hapo zilipo.
Mengine
Elon ni muumini mkubwa wa matumizi ya bangi, Na ni bilionea pekee alieweza kukuza utajiri wake kutoka $1B mpaka $244B ndani ya kipindi cha miaka 10.
Haya soma hapo mtanzania [emoji116]Aliekuambia baba yake alishindwa kutoa huduma ni nani?
Huyu jamaa sio self made billionaire; baba take ana mchango mkubwa kwenye mafanikio yake.
Sawa nimekupa [emoji115]Kulingana na comment Yako Mimi sijui maana ya self-made.
Ndio maana nimekuomba unipe maana yake?
Nasubiri jibu ili nikaswaki
Alaa kumbeeUkitaka kumvutia kijana wa kitanzania anzisha mijadala ya
1. Simba na Yanga
2. Sifa za matajiri na yupi ana fedha zaidi.
3. Kula tunda kimahasira.
Kwa hela hizo unahitaji mke wa nini? Una hela upangiwe utakula nini? Una hela ununiwe siku tatu? Una hela unyimwe unyumba? Una hela usipate mwanya wa kuongea na MTU yoyote wa jinsia ya kike hata Kama Ni dada yako?
Una hela upangiwe nguo za kuvaa?
Usituone sisi tusio na hela tumenyamaza, ukweli ni kwamba TUNAPITIA
@Fursakibao ukipiga mswaki kunywa na chai kabisa, [emoji16][emoji16][emoji16]Kulingana na comment Yako Mimi sijui maana ya self-made.
Ndio maana nimekuomba unipe maana yake?
Nasubiri jibu ili nikaswaki
Uelewa wako ni mdogo sana dogo.Sawa nimekupa [emoji115]
Kwa ninNa nasikia jamaa hajajenga mpaka leo yani hamiliki nyumba kabisa
Soma ukiwa umetulia.Sasa una hela kama Elon?
Sasa hapo nani kakurupukaUelewa wako ni mdogo sana dogo.
Ushauri wa Bure siku nyingine usikurupukie vitu ambavyo huna maarifa navyo.
Wewe unajidai unajua kumbe FursakibaoUelewa wako ni mdogo sana dogo.
Ushauri wa Bure siku nyingine usikurupukie vitu ambavyo huna maarifa navyo.