Elon Musk ni mtu na nusu

Elon musk huwa simuelewagi kabisa huyu jamaa
 
Je ana mke??
Mke na utajir wap na wap! Hata Bilgate aliona ajivurugue tu. Na wanasayansi wagunduzi viliwashinda. Vita ya mapenzi na muda haijawai kuisha.
...ONLY THE POOR HAS TIME TO DISPOSE!
 
PayPal sio ya kwake alishaiyuza mda sana japo yeye ndo mwanzilishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…