Elon Musk profit maker or?

Elon Musk profit maker or?

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
1,328
Reaction score
3,718
Billionaire Elon Musk mmiliki wa Twitter deals kibao, kawaondolea Blue tick(Verification bagdes) Baadhi ya wasanii kwenye mtandao wa Twitter akiwemo Wiz kid, Burnaboy, na Davido kwa madai ya kwamba wa natakiwa kuzilipia.

Je unaungana na Elon Musk or nah?
FB_IMG_16821124262687590.jpg
 
Musk kaamua kuifanya Twitter kama toy yake ya kuichezea, hiyo ndio raha ya kuwa na pesa nyingi hadi usijue jinsi ya kuzitumia.
 
Back
Top Bottom