Elon Musk sio tajiri namba moja duniani kwa sasa

Elon Musk sio tajiri namba moja duniani kwa sasa

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1670996445801.png
 
bado yuko karibu sana anytime anarudi chati.
Ford, GMC, Volvo ,Chinese companies etc sasa wote wanaachia electric cars na nyingine ni better and cheaper kuliko TESLA, sina uhakika kama domination ya Elon itaendelea kwenye hii market ambapo utajiri wake mkubwa ndipo ulipo, na liberals ambao ndio wateja wake wakubwa sasa wanaamini Elon ni hardcore right winger na hana tofauti na Trump, i feel sorry for the guy na watu wengi wameshamuona kama fascist NAZI tuu ambaye amezaliwa under privilege za apartheid.
 
KwFord, GMC, Volvo ,Chinese companies etc sasa wote wanaachia electric cars na nyingine ni better and cheaper kuliko TESLA, sina uhakika kama domination ya Elon itaendelea kwenye hii market ambapo utajiri wake mkubwa ndipo ulipo, na liberals ambao ndio wateja wake wakubwa sasa wanaamini Elon ni hardcore right winger na hana tofauti na Trump, i feel sorry for the guy na watu wengi wameshamuona kama fascist NAZI tuu ambaye amezaliwa under privilege za apartheid.
Kwa hiyo kuanguka kwa utajiri wa elon wewe roho yako kwatu!
Wewe na Jiwe aliyekuwa anawafanya matajiri waiishi kama mashetani mna tofauti gani?
 
Back
Top Bottom