Elon Musk sio tajiri namba moja duniani kwa sasa

bado yuko karibu sana anytime anarudi chati.
Ford, GMC, Volvo ,Chinese companies etc sasa wote wanaachia electric cars na nyingine ni better and cheaper kuliko TESLA, sina uhakika kama domination ya Elon itaendelea kwenye hii market ambapo utajiri wake mkubwa ndipo ulipo, na liberals ambao ndio wateja wake wakubwa sasa wanaamini Elon ni hardcore right winger na hana tofauti na Trump, i feel sorry for the guy na watu wengi wameshamuona kama fascist NAZI tuu ambaye amezaliwa under privilege za apartheid.
 
Kwa hiyo kuanguka kwa utajiri wa elon wewe roho yako kwatu!
Wewe na Jiwe aliyekuwa anawafanya matajiri waiishi kama mashetani mna tofauti gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…