Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Elon anacheka lakini ni ukweli. Ikiwa Trump atashindwa, Elon ataishia kushtakiwa na kupigania maisha yake. Hiyo ndiyo gharama ya kujaribu uhuru wa kujieleza. Bodi za makampuni yake zinaweza kumwondoa kwa kuwa ni risk kuwa naye kwenye biashara. Elon anakabiliana na adui mkatili na mwenye kisasi.
Namtakia kila la heri, kwa dhati.