Elon anacheka lakini ni ukweli. Ikiwa Trump atashindwa, Elon ataishia kushtakiwa na kupigania maisha yake. Hiyo ndiyo gharama ya kujaribu uhuru wa kujieleza. Bodi za makampuni yake zinaweza kumwondoa kwa kuwa ni risk kuwa naye kwenye biashara. Elon anakabiliana na adui mkatili na mwenye kisasi.
Litakuwa fisadi hilo, mbona limeanza kuogopa. Akaenkwa kutulia mother achukue nchi kwanza harafu tutamrudia. Amekimbia upande wa fisadi mwenzake ili amlinde ukweli ni kwamba Trump hawezi kushinda.
Elon Musk ni akili kubwa. Hajawahi kuwa na chama zaidi ya kuwa katikati mpaka 2022 ambapo alitangaza kwamba ataanza kupigia kura Chama cha Republican, akieleza kuwa Chama cha Democratic kimeegemea sana kwenye siasa kali.
Pia, ameikosoa serikali ya Biden mara kadhaa na kuunga mkono uhuru wa kujieleza, akionyesha wasiwasi kuhusu udhibiti wa mitandao ya kijamii.