Elon Musk : Vipofu sasa wataanza kuona

Wenzetu kila siku wanahangaika kuwekeza katika kushughulika kutatua matatizo ya mwanafamu, sisi tunawekeza katika uwezo wa kuteka, kutengeneza chaguzi bandia, kuua na kubambikia kesi za uhaini na ugaidi wanaokosoa uovu wetu. Kwa aina hii ya kwetu, sisi tutabakia kuwa watumiaji wa jitihada za wenzetu. Na hivyo kubakia kwenye sifa ya umaskini siku zote..
 
Habari, karibu banda la Vodacom lililopo viwanja vya Nanenane Dodoma na ujipatie Simujanja ya mkopo kwa kianzio cha TZS 30,000 TU. Miliki simu, lipa mdogo mdogo
 
Wenzetu wanafanya innovation kila siku, kufanya impossible kuwa possible.

Njoo kwetu sasa, uje umsome bwana Luca, Choice n Tlaa... utachoka sana!
Usidanganyike
Hakuna mwanadamu wa kawaida mwenye akili hiyo.
Hao jamaa wanashirikiana na aliens kufanya hizo harakati ndio maana kwa wastani utaona wazungu walio wengi hawana innovation yoyote wanayoifanya zaidi ya ku consume kama sisi tu.

Nimeandika nikiwa nimelewa mkangafu, msinichukulie serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…