kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Huyu jamaa kwenye kampeni za trump alikua anaruka ruka kama mtoto jukwaani, he was totally invested in it.Angekuwa upande wa Democrats angefaidi vilevile. Aliona upande ule ni wa kushindwa ndiyo maana akahamia Republican.
Hamna bahati ni kazi iliyofanywa tena ya uhakikaWatu na bahati zao
Ni namba helaHizo ni hela au ni namba tu?
Polepole chiefHawa sasa ndio wanufaika
Ukute sasa mtu yupo Magu ndani ndani huko toka asubuhi hajala wala mbuni hana mfukoni ila sasa povu linavyomtoka anachambua kampeni za urais marekani! Au anavyoichambua vita ya Israel na Iran.
Nilisahau, huyo mtu unakuta hata kuoga hajaoga na hata kazi hana anashinda kijiweni tu
Wanasema Marekani wanaishi watu wenye 'brain', sijajua walikuwa wanamaanisha nini?Ni namba hela
Matajiri wa hadhi yake wanajulikana kwa utulivu wa hali ya juu sana, wasioonesha hisia, msisimko wala fukuto lolote.Huyu jamaa kwenye kampeni za trump alikua anaruka ruka kama mtoto jukwaani, he was totally invested in it.
HahahaaaNgoja na mimi mwakani niwekeze kwa mama kama milioni 18
Ila Huyu jamaa haiba yake yakipekee sana.Matajiri wa hadhi yake wanajulikana kwa utulivu wa hali ya juu sana, wasioonesha hisia, msisimko wala fukuto lolote.
Sasa ukiona mpaka kibosire kama yeye anaruka vile na kusimamia kampeni, wewe jua mkeka wake tayari alishauona uleee unatiki kama alivyopanga. Famasikhara, nini?
Now you knowWanasema Marekani wanaishi watu wenye 'brain', sijajua walikuwa wanamaanisha nini?
Nadhani pia na sera zao, zinawawezesha wananchi wake wawe matajiriNow you know
Ila una hakika ni yeye binafsi Elon? Tuko katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia. Halafu, anaweza kuwa na mafundi wa kumfanyia kazi kama hizo, yeye akaenda kujibanza Los Angeles kwenye SpaceX yake, nk.Ila Huyu jamaa haiba yake yakipekee sana.
Unajua kule twitter hata kabla ya kuinunua alikuaga anajibu kila mtu kwenye tweets zake, na yupo online muda mwingi, na hapo anasimamia makampuni almost sita