Elon ni genius sijawahi ona ulimwengu huu. Aliwekeza takribani dola milion 118 kwenye kampen za Trump ila ndani ya siku moja tu kapata dola billion 26

Hakuna u genius hapo, hiyo ndio ufisadi wa kisheria pamoja uchumi bandia wa kamari (fake speculative economy)
Kitu gani kampuni za Elon zinefanya kwa muda wa siku chache share zipande kiasi hicho. Kuna watu watapigika balloon likipasuka (balloon bust )sababu huu ukuaji hauna msingi imara. yaani hakuna kazi au uzalishaji au ubunifu ulio fanyika
 
Typical wabongo
 
Kumpita aliyekuwa tajiri namba moja duniani bill na baadae jamaa wa amazo unafikiri msingi uliotumika ni wa mikate?
 
Hawa sasa ndio wanufaika

Ukute sasa mtu yupo Magu ndani ndani huko toka asubuhi hajala wala mbuni hana mfukoni ila sasa povu linavyomtoka anachambua kampeni za urais marekani! Au anavyoichambua vita ya Israel na Iran.

Nilisahau, huyo mtu unakuta hata kuoga hajaoga na hata kazi hana anashinda kijiweni tu
Nimelukosea nn? Naomba uniache na maisha yangu kwani kuoga lazima?
 
Back
Top Bottom