The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Nakuhakikishia hutapoteza. Wekeza.Ngoja na mimi mwakani niwekeze kwa mama kama milioni 18
Typical wabongoHakuna u genius hapo, hiyo ndio ufisadi wa kisheria pamoja uchumi bandia wa kamari (fake speculative economy)
Kitu gani kampuni za Elon zinefanya kwa muda wa siku chache share zipande kiasi hicho. Kuna watu watapigika balloon likipasuka (balloon bust )sababu huu ukuaji hauna msingi imara. yaani hakuna kazi au uzalishaji au ubunifu ulio fanyika
Bado hujasomeka vyema,kama milioni 18
Kumpita aliyekuwa tajiri namba moja duniani bill na baadae jamaa wa amazo unafikiri msingi uliotumika ni wa mikate?Hakuna u genius hapo, hiyo ndio ufisadi wa kisheria pamoja uchumi bandia wa kamari (fake speculative economy)
Kitu gani kampuni za Elon zinefanya kwa muda wa siku chache share zipande kiasi hicho. Kuna watu watapigika balloon likipasuka (balloon bust )sababu huu ukuaji hauna msingi imara. yaani hakuna kazi au uzalishaji au ubunifu ulio fanyika
Pia anayechambua mambo makubwa kama haya nae si haba. Kuna kitu anafahamu.Polepole chief
Kwa wengine hio nayo ni burudani, uchambuzi na soga khs mambo kama haya kwa wengine ni burudani pia.
Nimelukosea nn? Naomba uniache na maisha yangu kwani kuoga lazima?Hawa sasa ndio wanufaika
Ukute sasa mtu yupo Magu ndani ndani huko toka asubuhi hajala wala mbuni hana mfukoni ila sasa povu linavyomtoka anachambua kampeni za urais marekani! Au anavyoichambua vita ya Israel na Iran.
Nilisahau, huyo mtu unakuta hata kuoga hajaoga na hata kazi hana anashinda kijiweni tu