Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Elton John na Renate Blauel walifunga ndoa mwaka 1988 iliyodumu kwa miaka minne. Wakati wana achana walikubaliana kuwa kila mmoja hataongelea tena ndoa yao hiyo na walifunga mjadala.
Mwaka 2019 Elton John alivunja makubaliano hayo akiwa anaandika historia ya maisha yake. Renate Blauel alianza kuchukua hatua za kisheria kiangazi kilichopita na wamefikia makubaliano Elton John atamlipa £million 3.