Elton John Farewell Tour in Australia

Elton John Farewell Tour in Australia

Elton John anaamua kupumzika amefanya farewell tour Australia

Like seriously unamfutilia kwa mahaba kabisa mwanaume aliyeolewa?..Mungu awanusuru watoto wako wasije kuwafuatilia mashoga na kuwaona ma legendary!! Athari yake ni kubwa mno
 
Hii nilikuwa sijawahi kuisikia, Nakumbuka kama waliasili mtoto na mumewe David Furnish?
Walipata na wakwao wawili ninadhani mbegu za kila mmoja zilichangia kwa zamu. Hao watoto wanalalia shuka za Gucci na wana full time nanny.
 
Sifa kubwa ya Elton John ni kiburi na arrogant. Walio karibu nae wanasema mtu pekee anaeweza kumuweka kwenye nafasi yake ni David Furnish.
 
Back
Top Bottom