Elton John Farewell Tour in Australia

Sifa kubwa ya Elton John ni kiburi na arrogant. Walio karibu nae wanasema mtu pekee anaeweza kumuweka kwenye nafasi yake ni David Furnish.

Eh...Sijui nitakuwa nimepatia kitu anachotumiia kumuweka kwenye nafasi yake?
 
Samahani mimi sielewi hili neno

GAY

Je linatumika kwa punga (anaeliwa nyuma)

Au Dume linalotafuna wasenge(punga)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Phill Collins.

Huyu jamaa ni lejindari

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukimuona Phil kwa sasa utamhurumia amechoka sana na alianguka kwenye show moja
Aliendelea kuimba akiwa kwenye pushchair
Nyimbo zake zote ni nzuri sana
Nakumbuka nilikuwa nina album zake zote miaka ya 80 mpaka 90
Yaani bila mziki wake kwenye gari nilikuwa sina raha



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kuna kitu huwa nakiwaza ,hawa masupa staa nahisi huwa wanalipwa wajitangaze tu ,but in real unakuta sio shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…