Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Nimepokea taarifa zinazosema kuwa,
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa "Tanzania Chamber of Commerce, Industry & Agriculture" (TCCIA) Bwana ELVIS A. MUSIBA amefariki dunia alfajiri ya leo.
Habari za mipango ya mazishi zitafuata mara tu baada ya kupatikana.
Kwa watu walioko London, mnakaribishwa kwa binti yake, Lisa Musiba, anwani ni:
6 MANTON Rd
ENFIELD
MIDDLESEX
LONDON,
EN3 6XZ
Mobile: 07949737185
Pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wale wote mliofikwa na msiba huu.
Roho ya Marehemu Elvis A. Musiba ipumzike pema.
AMIN.
source: http://www.wavuti.com/
Hakujakuwapo na mfano wa riwaya zako za upelelezi.RIP mzee wa 'Willy Gamba'