Elvis A. Musiba afariki dunia!

Elvis A. Musiba afariki dunia!

RIP ELVIS MUSIBA

I wish kungekuwa na a publishing company ambayo ingeenzi kazi zake kwa namna inayofaa...vitabu vyake vimekuwa adimu sana siku hizi...unless kama kuna ambaye anajua vinakopatikana anaweza kutuambia

tumeondokewa na moojawapo wa waandishi mahiri kabisa wa Riwaya za kipelelezi aliyepata kutokea nchi hii
 
Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun

hakika sisi ni wa Mola na kwake tutarejea

Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema,

binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa sana wa vitabu vyake, hakika vitabu hivyo vilisaidia sie wengine kujenga ile tabia ya kupenda kusoma vitabu, nasikitika sana hakuna watunzi kama yeye zama hizi, hawa wengine waliopo ni macopyist tu
 
6930678.jpg


Nimepokea taarifa zinazosema kuwa,

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa "Tanzania Chamber of Commerce, Industry & Agriculture" (TCCIA) Bwana ELVIS A. MUSIBA amefariki dunia alfajiri ya leo.

Habari za mipango ya mazishi zitafuata mara tu baada ya kupatikana.

Kwa watu walioko London, mnakaribishwa kwa binti yake, Lisa Musiba, anwani ni:

6 MANTON Rd
ENFIELD
MIDDLESEX
LONDON,
EN3 6XZ

Mobile: 07949737185

Pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wale wote mliofikwa na msiba huu.

Roho ya Marehemu Elvis A. Musiba ipumzike pema.

AMIN.



source: http://www.wavuti.com/

RIP mzee wa 'Willy Gamba'
 
Kama watanzania tumepoteza kichwa cha maana sana, Mungu awatie nguvu wafiwa wote.
 
aisee...ulale kwa amani
sitasahau tunzi zako
 
Back
Top Bottom