Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Yes...na wakatalikianaHivi MJ alioa mtoto wa Elvis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes...na wakatalikianaHivi MJ alioa mtoto wa Elvis
umemaliza kila kituMkuu kama umefanya tafiti na kugundua kwamba wanampa Michael Jackson, na Umesema Guinness Records pia wanampa Michael Jackson.
Mimi binafsi sina sababu ya kufinga tafiti pasopo kufanya tafiti, naungana nao moja kwa moja.
Pia sina akili za kupingana na Guinness Records.
Mambo mengi anayofanya Michael Jackon ameyacopy kutoka kwa Elvis na James brown
Kula?wapendwa kuna mjadala mkubwa ambao unaendelea wa nani ni real KING kati ya hao ma LEGENDS hapo juu,KWA utafiti ambao nimeufanya nimegundua wengi wanampa kula Michael Jackson sijui KWA kigezo kipi na pia GUINNESS RECORDS zimempa huyo,hila kiukweli KWA ukweli ulio wazi ni dhahiri kwamba ELVIS ni real KING kutokana na mambo mengi ambayo amefanya,upendo japokuwa akupewa promo kutokana na media kutokuepo enzi hizo but angekuwepo enzi za media mngeamini nacho ongea,na pia Michael amemuiga kila kitu Elvis kuanzia uvaaji,uchezaji,kula life styles hilimradi ampite tu Elvis,hila wapi ajaweza,kama una taka kuamini kasikilize jailhouse,Queen & loving rock n'roll by Elvis ndo utakubaliana na Mimi
Mimi nampa kula KING HIMSELF ELVIS AARON PRESLEY, wewe je?
Uyo tunamfananisha na na wewe mana alikua na tabia kama zako... za child molestation!acheni kumfananisha Mj na vitu vya kijinga aisee....
We na ww unapost nonsenses sasa..eti king kati ya Soviet Union na Russia...Who's the KING kwenye Boxing kati ya Muhammad Ali na Mike Tyson?!
Tunaweza kuweka pembeni suala la uzito! Hapo ni nani mfalme wa Boxing kati ya Muhammad Ali na Floyd Mayweather?!
Who's the KING in football kati ya Pele na Cristian Ronaldo?!
Who's the KING kati ya Roman Empire na US?!
Who's the King kati ya Soviet Union na Russia?!
Maandiko mengine yana falsafa ndani yake na sio ya kukurupukia kutaka ku-comment bila kufahamu the logic behind!!!We na ww unapost nonsenses sasa..eti king kati ya Soviet Union na Russia...
Kwaiyo nikuulize Who is the Queen kati ya Tanzania na Tanganyika?
Sasa unawezaje kulinganisha iyo Roman Empire na America ?
Ivi watu mmeenda shule kweli nyie? Kuelimika ama
sasa wewe Mwenye akili za kikubwa umeifanyia jambo gani la maana Jamii yko mpaka sasa...hapo ulipo hata uwenye kiti wa serikali za mtaa huwezi kuupata....Uyo tunamfananisha na na wewe mana alikua na tabia kama zako... za child molestation!