Elvis Aaron Plesley (1935-1977) "VS" Michael Jackson (1958-2009)

Michael Jackson ni humbwa acha utani mkuu
 
Hamna entertainer aliewahi kutokea kama MJ . Huyo jamaa kaonyesha njia kwa black artists tunaowaona sasa hivi kina Chris brown, Usher ect. Nyimbo za watu weusi zilikua hazichezwi MTV Me wazungu wakawa hawana jinsi ila kucheza nyimbo za Mj kutokana ukubwa wa Mj
 
umemaliza kila kitu
 
Mambo mengi anayofanya Michael Jackon ameyacopy kutoka kwa Elvis na James brown


You know nothing bro! Elvis Presley ndio amekopi muziki wake kutoka kwa watu weusi. Rock n' Roll ilifanywa na watu weusi kwanza, white people don't want to hear it but that's the truth. Wanaosema hakukuwepo media nawashangaa. Sema hakukuwepo na internet, sio media. White privilege benefited Elvis Presley. Hawakutaka kusikia vitu vizuri vinatoka kwa watu weusi, ndio maana redio na hata MTV alikuwa hazipigi nyimbo za watu weusi.

The hit song of Elvis Presley "Hound Dog", kwanza uliimbwa na black woman, Big Mama Thorton ambae aliureko mwaka 1952 kipindi hicho alikuwa na miaka 26. But no credit given to her till today, and she already died and forgoten.


"Hound Dog" - by Willie Mae "Big Mama" Thornton



"Hound Dog" - by Elvis Presley
 
Na ukitaka kujua Elvis Presley alikuwa copycat, msikilize huyu mama...

Rosetta Tharpe - 'Didn't It Rain'

 
Kula?
 
Mkuu,,unalinganisha mfalme wa pop na mfalme wa rock and roll ,are you serious ? Hao waliimba miziki tofauti
 
Elvis ni habari nyiingine sema tatizo nyota labda tuseme ivo mana unaweza kua na uwezo mkubwa ila kama nyota ni tatizo basi ni muhimu kubonyeza reli!

Mfano mwingine angalia kwenye The WAILERS lile kundi la Reggae la Bob Marley, Peter Tosh na Bunny Wailers...

Bob Marley ndo alikua famous anaonekana anajua ila kiukweli Bob alikua cha mtoto mbele ya PETER TOSH let alone the true Wailer himself BUNNY WAILERS!

So it happens sometimes!
 
We na ww unapost nonsenses sasa..eti king kati ya Soviet Union na Russia...
Kwaiyo nikuulize Who is the Queen kati ya Tanzania na Tanganyika?

Sasa unawezaje kulinganisha iyo Roman Empire na America ?
Ivi watu mmeenda shule kweli nyie? Kuelimika ama
 
We na ww unapost nonsenses sasa..eti king kati ya Soviet Union na Russia...
Kwaiyo nikuulize Who is the Queen kati ya Tanzania na Tanganyika?

Sasa unawezaje kulinganisha iyo Roman Empire na America ?
Ivi watu mmeenda shule kweli nyie? Kuelimika ama
Maandiko mengine yana falsafa ndani yake na sio ya kukurupukia kutaka ku-comment bila kufahamu the logic behind!!!

I mean no disrespect but I doubt if the writing is within your reasoning level... sorry!!

And I'm even more sorry dhidi ya tambo zako za elimu wakati bado umeshindwa kuelewa the logic behind few lines!!
 
Uyo tunamfananisha na na wewe mana alikua na tabia kama zako... za child molestation!
sasa wewe Mwenye akili za kikubwa umeifanyia jambo gani la maana Jamii yko mpaka sasa...hapo ulipo hata uwenye kiti wa serikali za mtaa huwezi kuupata....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…