Elvis rupia wa ihefu kawazidi mbali fred na jobe wa simba sc

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Huu ndio ukweli
Fred na jobe wanaigharimu sana timu, Najiuliza tu
Hivi wanaosajiri hawakumuona elvis rupia?
 
Ningekua kiongozi pale simba dirisha dogo ningewachukua
Elvis rupia, marouf tchakei, jackson kagoma, bruno gomez, yanick bangala na nikamrudisha babu onyango halafu ningewatoa
Aubin kramo, luis miquisonne, essomba onana, sadio kanoute na saidoo ntibanzokiza

Trust me CAF tusingepigwa nje ndani, FA tusingetolewa na ubingwa tungeendelea kuufukuzia
 
Simba inabidi uangalie zaidi ya hapo, Kuna wachezaji wengi Bora Afrika wanatamani kuchezea Simba .
 
Hilo ndio kosa lenu, kuna wachezaji wazuri wa ndani wanaoweza kucheza na kufanya vizuri zaidi ya hao mnaowataka wa nje. Nilikuwa naangalia game ya Singida na Yanga. Kuna huyu Mzanzibar Beki mzuri, kuna yule Kagoma huwezi mfananisha na Sarr. Kuna Dogo yule wa Ihefu alichezaga Serengeti Boys n.k. mna kazi ya kuwang'ang'ania akina Jobe, Fred, Onana n.k
 
Mie nakuelewa
 
Back
Top Bottom