kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Simba inabidi uangalie zaidi ya hapo, Kuna wachezaji wengi Bora Afrika wanatamani kuchezea Simba .Ningekua kiongozi pale simba dirisha dogo ningewachukua
Elvis rupia, marouf tchakei, jackson kagoma, bruno gomez, yanick bangala na nikamrudisha babu onyango halafu ningewatoa
Aubin kramo, luis miquisonne, essomba onana, sadio kanoute na saidoo ntibanzokiza
Trust me CAF tusingepigwa nje ndani, FA tusingetolewa na ubingwa tungeendelea kuufukuzia
Hilo ndio kosa lenu, kuna wachezaji wazuri wa ndani wanaoweza kucheza na kufanya vizuri zaidi ya hao mnaowataka wa nje. Nilikuwa naangalia game ya Singida na Yanga. Kuna huyu Mzanzibar Beki mzuri, kuna yule Kagoma huwezi mfananisha na Sarr. Kuna Dogo yule wa Ihefu alichezaga Serengeti Boys n.k. mna kazi ya kuwang'ang'ania akina Jobe, Fred, Onana n.kSimba inabidi uangalie zaidi ya hapo, Kuna wachezaji wengi Bora Afrika wanatamani kuchezea Simba .
Mie nakuelewaHilo ndio kosa lenu, kuna wachezaji wazuri wa ndani wanaoweza kucheza na kufanya vizuri zaidi ya hao mnaowataka wa nje. Nilikuwa naangalia game ya Singida na Yanga. Kuna huyu Mzanzibar Beki mzuri, kuna yule Kagoma huwezi mfananisha na Sarr. Kuna Dogo yule wa Ihefu alichezaga Serengeti Boys n.k. mna kazi ya kuwang'ang'ania akina Jobe, Fred, Onana n.k