Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Mwanariadha wa kimataifa Emanuel Giniki ashinda Mbio za Kilimanjaro Marathon kwa Nusu Marathon (21K) kwa kutumia Muda wake mzuri Sana (Personal Best) wa 1:00:34 , akifuatiwa na Gabriel Gerald Geay na Inyasi Sulley mashindano yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro na kuhudhuriwa na Waziri mkuu.
Japo, Giniki Ameshinda ila sio miongoni mwa wachezaji waliyochaguliwa kwenye Kambi ya Taifa ya Jumuiya ya Madola.
Kamati ya Ufundi ya RT, imechemka Sana, Wanafanya kazi Kwa kutazama majina.
Japo, Giniki Ameshinda ila sio miongoni mwa wachezaji waliyochaguliwa kwenye Kambi ya Taifa ya Jumuiya ya Madola.
Kamati ya Ufundi ya RT, imechemka Sana, Wanafanya kazi Kwa kutazama majina.